Pampula jr
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 606
- 192
ni kweli hata mimi ananiudhiAli kiba anajua sana kuimba kuliko wanamuziki wengi sana tz akiwemo diamond
Lakini ali kiba hajui "kufanya" muziki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli hata mimi ananiudhiAli kiba anajua sana kuimba kuliko wanamuziki wengi sana tz akiwemo diamond
Lakini ali kiba hajui "kufanya" muziki
Ali kiba anajua sana kuimba kuliko wanamuziki wengi sana tz akiwemo diamond
Lakini ali kiba hajui "kufanya" muziki
Umeona eeh?tokea huu uzi uanze nimeona ID's mpya ambazo sikuwahi kuziona kabla....ni hatari
Afadhali umekubaliana na karibu kila tuzo hulalamikiwa. Sasa sababu ya kulalamikiwa ndizo hizo sarakasi zilizomo kwenye hizo tuzo. Na ndicho nilichokisema, kwa maana ya kwamba Adele aliweka rekodi ya tuzo nyingi, lakini Nicki Minaj akauza sana album. Kama Davido kupata tuzo nyingi, lakini 2 Face Idibia akauza nakala nyingi za album.
Nijuavyo, maana ya mifano mfu ni ile ambayo haipo, lakini mimi nimekuwa mifano ya historia ya maisha ya muziki, kwani kiazi chetu tunajifunza kufuatana na historia kwa maana ya kumbukumbu, ndio maana leo tuna vitabu vitakatifu ambavyo vina miongozo ya matukio na maisha ya zamani.
Sasa kama mfano wa historia ya yaliyopita kwenye maisha ya muziki unaita mfu, unahitaji nini zaidi? Sijui kama unajua kama vitabu vinavyouzwa sana ukiondoa vya novel, ni vile vya kumbukumbu za watawala na watu mashuhuri waliopita kwa ajili ya watu kutaka kujifunza kupitia kwao.
Mifano niliyotoa ina maana kwamba unaweza ukawa mkali lakini bado usipate tuzo. Sikuwahi kutoa mfano wa asiyestahili kupata tuzo, kila anayefanya sanaa anaweza kupata tuzo au akakosa, lakini tuzo ni tofauti na matokeo ya darasani kwa maana ya uwezo halisi.
Katika tuzo ni tofauti, watu mtapiga kura nyingi muwezavyo lakini zinapewa asilimia 10 tu katika ushindi, kisha kuna kundi la watu watajifungia ndani na kuamua kwa muono wao kuwa huyu na huyu ndio washindi, kama unavyojua kila binadamu ana utashi wake.
Ndio maana tunaona Casper Nyovest kapata tuzo nyingi kwa wimbo wake wa Doc Shebeleza, lakini katika kufuata hisia za wapenzi wa muziki, huo wimbo wa Doc Shebeleza umeweza kuupoteza Y Tjukutja wa Uhuru alioimba na akina Professor, Oskido na Dj Bucks? Umeupoteza Khona wa Mafikizolo?
Ova
Haya pata radha.
Yaani watu wanaanzishia ID Mpya uzi huu? Ama kweli watu wanaifanya kazi, coz ukiona mtu anapambana nawe kwa njia haramu ujue anakuhofia sana.
Ova
Wewe hujaziona eeh?ni wachache sana wanaokuja hapa na ID's zao (pia ndio hao hao wenye hizo mpya)Yaani watu wanaanzishia ID Mpya uzi huu? Ama kweli watu wanaifanya kazi, coz ukiona mtu anapambana nawe kwa njia haramu ujue anakuhofia sana.
Ova
Mi mwenyewe nimeshangaa eti!
Ila Diva Beyonce alishashtukiaga akawaambia wawe wanakuja na IDs zao za siku zote! Duh kweli Kiba nomaa!
Wana multiple IDs hafu hawaji na za zamani uku tatizo uelewa wanafikiri tunashindana kumbe na kila mtu akipendacho wanajichosha kwakweli Kiba yuko pale pale atawapa pressure bure.
Wewe hujaziona eeh?ni wachache sana wanaokuja hapa na ID's zao (pia ndio hao hao wenye hizo mpya)
Ajabu sana
Hahahaa watu hawana kazi jamani?unafungua I'd nyingine kisa uje utukane huku?
Hatari sana.
Nahisi pia baby ako chinga atakua nayo,hahahaaaa
Yaani watu wanaanzishia ID Mpya uzi huu? Ama kweli watu wanaifanya kazi, coz ukiona mtu anapambana nawe kwa njia haramu ujue anakuhofia sana.
Ova