Yupi wa hovyo mwizi wa elimu wa taifa na mlevi wa taifa
wewe, bashite na aliyemteua makonda wote ni watu wa hovyo sababu zanguKwakweli nimemkubali sana makonda kwa kile alichokemea media na waandishi kutoa promo kwa walevi na wababaishaji kama dr shika.
Sasa naelewa kwanini magufuli alimteua.
Pongezi sana Rais wetu magufuli kuchagua viongozi makini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mshenzi wewe...From day one nilivyo skia huyu mlevi nae ni mtu maarufu nikajua kabisa Tanzania inahitaji kujitathimini upya, kuna kila sababu za msingi Paul Makonda akabidhiwe nchi baada ya Magufuli, maana naona Tanzania kuna wapumbafu wengi sana kiasi kwamba kwa level za Uzee wa Magufuli hawezi kukabidhia nazo.....
Wewe ndio mpumbavu wahediFrom day one nilivyo skia huyu mlevi nae ni mtu maarufu nikajua kabisa Tanzania inahitaji kujitathimini upya, kuna kila sababu za msingi Paul Makonda akabidhiwe nchi baada ya Magufuli, maana naona Tanzania kuna wapumbafu wengi sana kiasi kwamba kwa level za Uzee wa Magufuli hawezi kukabidhia nazo.....
Alafu kile kipande cha video kinamuonesha Piere anamtukana mwandishi wa habari ni Part ndogo ya video nzima ambayo Piere aliambiwa aigize kama anaonesha dharau... Wapuuzi wakachukua kipande kidogo cha video nzima wakakipost... Wasafi nao ni wangese tu kama bashite. Wanataka wao tu ndo wawee topic in town...[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]Kosa la Pieri Likwidi konk ni kuwa timu kibakuli, wakati Bashite ni mlezi wa wachafu.
Pili likwidi konk alimtukana mwandishi wa habari sijajua ni wawasafi maana mbele yake ilikuwepo maiki ya WCB.
Bifu la Wasafi na Likwidi lilianzia kwenye wimbo wa tetema, Reyvan aliingiza maneno na vionjo vya Likwidi bila ridhaa yake.
Likwid akasema wangemwomba ama kumshirikisha yeye mwenyewe ama wampe hata kifuta jasho Wasafi wakakaza.
Ukitaka kujua Bashite anaroho mbaya, huyo Pieri kwenye uhamasishaji Taifa stars alitumika, ila kwenye mechi akazuiwa na Pieri likwidi alitaka aingie kwa masupastar akazuiwa.
Kwenye hafla ya ikulu jina lake lilikatwa, japo Mama Samia kwa heshima na taadhima akamtaja kwa kutambua mchango wa Pieri Likwid konk....hicho kitendo kilimuuma sana Bashite.
Sasa leo mkuu wa wilaya akamwalika kwenye shughuli ya tokomeza ziro, hiki kitendo kimemuuma sana Rais wa Dar kuona jamaa anazidi kuwa juu/kileleni.
Kuna hatari hata makampuni yaliyoanza kufanya kazi na Pier yakasitisha mikataba iwe kwa hiari ama kwa lazima maana Rais wa Dar hapendizwi na wanachokifanya.
Pole Likwid Pierr Konk utabaki kuwa juu kileleni.
Puru inakuwashaa etiii????From day one nilivyo skia huyu mlevi nae ni mtu maarufu nikajua kabisa Tanzania inahitaji kujitathimini upya, kuna kila sababu za msingi Paul Makonda akabidhiwe nchi baada ya Magufuli, maana naona Tanzania kuna wapumbafu wengi sana kiasi kwamba kwa level za Uzee wa Magufuli hawezi kukabidhia nazo.....
Anachofanya Pierre hakiwezi kuigwa na mwanao wala kizazi kinachochipukia,wewe unaweza kumuona mwanao akaitwa ni mlevi wa taifa na ukamtazama tu?hao wahuni wengine wanaokwendaga mahakamani kila uchao unaowasema nao pia ni wenye tabia mbaya ambayo huyo Makonda aliwahi kuwakemea pale alipowahusisha na madawa ya kulevyaView attachment 1058576"watu kama wakina Pierre sijui,watu wa hovyo hovyo ndio wanakua maarufu watu wa maana hawajulikani,tunajenga jamii ya watu gani?"
Haya ndio maneno ya Makonda wakati anahutubia kwenye tamasha la tokomeza zero Kisarawe,lililofanyika jana Mlimani City,ambalo pia Pierre alikuwa moja kati ya watu waliohudhuria.
Hivi mtu kama Pierre kuwa maarufu yeye inamuuma nini? anaposema ni mtu wa hovyo katika lipi? kati ya Pierre na hao wasanii wake ambao daily wanshinda makahamani kwa kesi za hovyo hovyo,wanatukanana mitandaoni live,wanavujisha picha za ngono mitandaoni,wanabadili wanawake/mabwana kila uchwao na bado anawahusudu na kuwaona wa maana nani ni wa hovyo sasa?
Muache mzee wa watu aingize kipato chake kihalali,ilimradi havunji sheria za nchi.
Haihalalishi maujinga yaoPierre komedi
Wem@ mdangaji video zke hata Ukienda xvds zipo kibaooo
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda anapenda u-Mungu sana huyu jamaa. Anataka watu wamuongelee yeye tu na zero yake.Makonda kwa kupenda kutembelea chaki hajambo
Kila eneo katika jamii lina watu wake maarufu..asitake kuleta ujuaji mwingi..wasanii wa muziki na sanaa wengi wao pia si watu wa ovyo pia,mbona jamaa hajawasema??
Aache wivu..Pierre atabaki kuwa juu
Mbona hakutaja mlokole mwenzie mwimbaji ambaye kabwia mpaka kalazwa Moi. Wakati huyo anafichiwa siri, wengine wanakamatwa kwa kukutwa na msokoto mmoja tu wa bangi.Makonda kwa kupenda kutembelea chaki hajambo
Kila eneo katika jamii lina watu wake maarufu..asitake kuleta ujuaji mwingi..wasanii wa muziki na sanaa wengi wao pia si watu wa ovyo pia,mbona jamaa hajawasema??
Aache wivu..Pierre atabaki kuwa juu
Kampe ya nchi ya kwako kwa mtu asiye na vyetiFrom day one nilivyo skia huyu mlevi nae ni mtu maarufu nikajua kabisa Tanzania inahitaji kujitathimini upya, kuna kila sababu za msingi Paul Makonda akabidhiwe nchi baada ya Magufuli, maana naona Tanzania kuna wapumbafu wengi sana kiasi kwamba kwa level za Uzee wa Magufuli hawezi kukabidhia nazo.....
Mlokole gani huyo..weka mambo hadharani mkuuMbona hakutaja mlokole mwenzie mwimbaji ambaye kabwia mpaka kalazwa Moi. Wakati huyo anafichiwa siri, wengine wanakamatwa kwa kukutwa na msokoto mmoja tu wa bangi.
Huyu mzee ni commedian, na makonda ni sadist, anawaona wakina wema sepetu watu wa maana, kwa kukaa uchi na kulala na nusu ya wanaume wa dar, mtu wa watu kakubalika na anajitafutia riziki, leo una smear in public? Huku hakuna tume ya uchaguzi mnayechezea , huku kuna mioyo yetu, pierre atabaki kuwa juu, naomba watu wote walioguswa na hili waache kwenda kula kwa shilole, amabye nae alimdiss, huyu mzee kwani chakula chake anachanganya na mkojo wake, mfyuuuuuuu
Ndio maana, niliona kakipande tu kale.!Alafu kile kipande cha video kinamuonesha Piere anamtukana mwandishi wa habari ni Part ndogo ya video nzima ambayo Piere aliambiwa aigize kama anaonesha dharau... Wapuuzi wakachukua kipande kidogo cha video nzima wakakipost... Wasafi nao ni wangese tu kama bashite. Wanataka wao tu ndo wawee topic in town...[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
Sent using Jamii Forums mobile app
Rose Mhando.Mlokole gani huyo..weka mambo hadharani mkuu