Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Kwakweli nimemkubali sana makonda kwa kile alichokemea media na waandishi kutoa promo kwa walevi na wababaishaji kama dr shika.
Sasa naelewa kwanini magufuli alimteua.
Pongezi sana Rais wetu magufuli kuchagua viongozi makini

Sent from my iPhone using JamiiForums
wewe, bashite na aliyemteua makonda wote ni watu wa hovyo sababu zangu
1. makonda hana vyeti hili halina ubishi . anzia tu kwenye matendo yake.
2. ilithibitishwa kwamba tupo kwenye kusaka vyeti feki ilipofika kwa makonda vita ikafia pale uhovyo wa aliyemteua. sijazungumza la makontena.
3. ukiweza kunichorea mstar kati ya liquid, stev nyerere, wema srpetu & co nitaacha kukuita wewe wa hovyo pia.
JPL ILIYOPITA LIQUID ALIKUWA MUHIMU TAIFA HATA KUTAJWA IKULU NA VP. LEO WA HOVYOHOVYO
HOVYOOO
 
From day one nilivyo skia huyu mlevi nae ni mtu maarufu nikajua kabisa Tanzania inahitaji kujitathimini upya, kuna kila sababu za msingi Paul Makonda akabidhiwe nchi baada ya Magufuli, maana naona Tanzania kuna wapumbafu wengi sana kiasi kwamba kwa level za Uzee wa Magufuli hawezi kukabidhia nazo.....
Mshenzi wewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio mpumbavu wahedi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa la Pieri Likwidi konk ni kuwa timu kibakuli, wakati Bashite ni mlezi wa wachafu.

Pili likwidi konk alimtukana mwandishi wa habari sijajua ni wawasafi maana mbele yake ilikuwepo maiki ya WCB.

Bifu la Wasafi na Likwidi lilianzia kwenye wimbo wa tetema, Reyvan aliingiza maneno na vionjo vya Likwidi bila ridhaa yake.

Likwid akasema wangemwomba ama kumshirikisha yeye mwenyewe ama wampe hata kifuta jasho Wasafi wakakaza.

Ukitaka kujua Bashite anaroho mbaya, huyo Pieri kwenye uhamasishaji Taifa stars alitumika, ila kwenye mechi akazuiwa na Pieri likwidi alitaka aingie kwa masupastar akazuiwa.

Kwenye hafla ya ikulu jina lake lilikatwa, japo Mama Samia kwa heshima na taadhima akamtaja kwa kutambua mchango wa Pieri Likwid konk....hicho kitendo kilimuuma sana Bashite.

Sasa leo mkuu wa wilaya akamwalika kwenye shughuli ya tokomeza ziro, hiki kitendo kimemuuma sana Rais wa Dar kuona jamaa anazidi kuwa juu/kileleni.

Kuna hatari hata makampuni yaliyoanza kufanya kazi na Pier yakasitisha mikataba iwe kwa hiari ama kwa lazima maana Rais wa Dar hapendizwi na wanachokifanya.

Pole Likwid Pierr Konk utabaki kuwa juu kileleni.
Alafu kile kipande cha video kinamuonesha Piere anamtukana mwandishi wa habari ni Part ndogo ya video nzima ambayo Piere aliambiwa aigize kama anaonesha dharau... Wapuuzi wakachukua kipande kidogo cha video nzima wakakipost... Wasafi nao ni wangese tu kama bashite. Wanataka wao tu ndo wawee topic in town...[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
From day one nilivyo skia huyu mlevi nae ni mtu maarufu nikajua kabisa Tanzania inahitaji kujitathimini upya, kuna kila sababu za msingi Paul Makonda akabidhiwe nchi baada ya Magufuli, maana naona Tanzania kuna wapumbafu wengi sana kiasi kwamba kwa level za Uzee wa Magufuli hawezi kukabidhia nazo.....
Puru inakuwashaa etiii????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1058576"watu kama wakina Pierre sijui,watu wa hovyo hovyo ndio wanakua maarufu watu wa maana hawajulikani,tunajenga jamii ya watu gani?"
Haya ndio maneno ya Makonda wakati anahutubia kwenye tamasha la tokomeza zero Kisarawe,lililofanyika jana Mlimani City,ambalo pia Pierre alikuwa moja kati ya watu waliohudhuria.
Hivi mtu kama Pierre kuwa maarufu yeye inamuuma nini? anaposema ni mtu wa hovyo katika lipi? kati ya Pierre na hao wasanii wake ambao daily wanshinda makahamani kwa kesi za hovyo hovyo,wanatukanana mitandaoni live,wanavujisha picha za ngono mitandaoni,wanabadili wanawake/mabwana kila uchwao na bado anawahusudu na kuwaona wa maana nani ni wa hovyo sasa?
Muache mzee wa watu aingize kipato chake kihalali,ilimradi havunji sheria za nchi.
Anachofanya Pierre hakiwezi kuigwa na mwanao wala kizazi kinachochipukia,wewe unaweza kumuona mwanao akaitwa ni mlevi wa taifa na ukamtazama tu?hao wahuni wengine wanaokwendaga mahakamani kila uchao unaowasema nao pia ni wenye tabia mbaya ambayo huyo Makonda aliwahi kuwakemea pale alipowahusisha na madawa ya kulevya

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
MBELE YA MWENYEZI MUNGU BINADAM WOTE WANATHAMANI NAAKUSUDI YAO CHINI YA JUA NDIO MAANA KUNA WENYE AKILI WENGI WANAKUFA WANAWAACHA VICHAA AMA WATU WANAOTEGEMEWA KUFA NA KUWAACHA WATU BAKI WAKIFAIDI DUNIA.HIVYO USIMDHARAU MTU ATI KWASABABU YA HISIA KWAMBA WEWE NI MHESHIMIWA.KUMBE PENGINE HESHIMA ULIYONAYO NIKWASABABU YA HAO WATU WA HOVYOHOVYO NA HAKO KACHEO ULIKONAKO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pierre utabak kileleni, uyooooooo amepaaaa.... kondakta acha kutuchagulia watu wa kutufurahisha, Tanzania inampenda pierre kuliko ww na mzee wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ati,
mtu anajifanya Mchamungu, kila siku kulialia makanisani. Halafu anadiriki kumwita mtu wa Mungu
" mtu wa hovyo"
Wakati Yesu alipokuja duniani hakuwahi kumwita mtu yeyote ni wa hovyo.
Tena alisema kabisa amekuja kwa wenye dhambi ili watubu na akamsamehe hata yule Malaya aliyempaka mafuta na aliyeletwa ili apigwe mawe, na aliwaheshimu kwa kuongea nae kw heshima.
Hivi huyo jamaa angeletewa yule malaya ili ampige mawe si angekuwa wa kwanza kumkandamiza mitofali ?
Au angesikika akibwata>
" kamwueni huyo ni mtu wa hovyo kabisa"
Yaani kamjamaa kupewa hako kacheo basi kanajiona kapo juu juu kabisa.
Kanajifanaya kanasali huku kanatukana watu wa Mungu.
Yaani Gaidi huwa hajifihi kabisa, mtawatambua kwa matendo na maneno yao.
Hii dharau imenifanya kwa mara ya kwanza nimdharau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udharirishaji uliofanywa na Makonda jana kwa Pierre Liquid, si jambo la heri. Kwamba watu wa 'hovyo' kama Pierre ndio wanao pata umaarufu. Huu ni uwivu wa hali ya juu kama si udhahifu na ulozu aliouonyesha jana.

Mbona yeye alitangaza 'nusu bei', kwa hiyo hakuona kwamba huu ni ulevi? Huyu mtu anatabia fulani ambayo inaudhi na inakera. Kila mtu anayo njia ya kujipatia riziki. Pierre si mlevi wa kutupwa kama vile tunavyoambiwa, lakini amejipatia umaarufu, na anatengeneza pesa. Sasa Makonda anawashwa na nini? Anataka yeye ndiye awe mgawa riziki.

Nimegundua kitu. Katika psychology, kuna kitu kinaitwa 'defence mechanism', kwamba mwili au wewe mwenyewe unafanya kitu ili kuficha udhaifu fulani. Makonda hana vyeti, na tunajua historia yake ya elimu hadi kutumia jina la mtu, na hili amewahi kukili mwenyewe nyakati fulani jinsi alivyokuwa anaitafuta elimu hadi kuchoma mkaa huko Mbezi Luis. Sasa jana kwa kuwa ilikuwa ni harambee ya Jokate Mwegelo ya 'Tokomeza Zero', akakumbuka historia yake ya elimu, akahisi huenda watu wanamuwaza yeye, hivyo akatafuta pakufichia udhahifu wake, ikawa ni kwa Pierre. Huu si uungwana hata kidogo.

Pierre si Amba Rutty kwamba ameigiza video za ngono. Pierre siyo Jambazi wanaotusumbua na kuhatarisha amani yetu. Pierre si kahaba kwamba anajiuza. Pierre si malaya kwamba anaeneza magonjwa. Pierre si nabii wa uongo kwamba anatapeli watu kama ilivyo kwa wengi. Pierre si mwanasiasa anayefanya mikutano ya siasa. Pierre anatafuta riziki kama yeyote yule. Anatumia kipaji na umaarufu wake. Umaarufu katika dunia hii ndiyo pesa. Au tatizo ni kwamba ametangazwa na kuwa maarufu kuliko yeye? Tunajua, hapendi mtu amzidi umaarufu. Amwache Pierre atafute pesa.

Tunaomba Makonda atoe boriti ndani ya jicho lake kabla yakutoa kibanzi katika jicho la Pierre. Na unapomnyooshea mwenzako kidole, hakikisha vyako viko safi.

NB: Mods,naomba huu uzi usiunganishwe na mwingine wa tukio la jana. Haya ni maoni huru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda kwa kupenda kutembelea chaki hajambo

Kila eneo katika jamii lina watu wake maarufu..asitake kuleta ujuaji mwingi..wasanii wa muziki na sanaa wengi wao pia si watu wa ovyo pia,mbona jamaa hajawasema??

Aache wivu..Pierre atabaki kuwa juu
Makonda anapenda u-Mungu sana huyu jamaa. Anataka watu wamuongelee yeye tu na zero yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda kwa kupenda kutembelea chaki hajambo

Kila eneo katika jamii lina watu wake maarufu..asitake kuleta ujuaji mwingi..wasanii wa muziki na sanaa wengi wao pia si watu wa ovyo pia,mbona jamaa hajawasema??

Aache wivu..Pierre atabaki kuwa juu
Mbona hakutaja mlokole mwenzie mwimbaji ambaye kabwia mpaka kalazwa Moi. Wakati huyo anafichiwa siri, wengine wanakamatwa kwa kukutwa na msokoto mmoja tu wa bangi.
 
From day one nilivyo skia huyu mlevi nae ni mtu maarufu nikajua kabisa Tanzania inahitaji kujitathimini upya, kuna kila sababu za msingi Paul Makonda akabidhiwe nchi baada ya Magufuli, maana naona Tanzania kuna wapumbafu wengi sana kiasi kwamba kwa level za Uzee wa Magufuli hawezi kukabidhia nazo.....
Kampe ya nchi ya kwako kwa mtu asiye na vyeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hakutaja mlokole mwenzie mwimbaji ambaye kabwia mpaka kalazwa Moi. Wakati huyo anafichiwa siri, wengine wanakamatwa kwa kukutwa na msokoto mmoja tu wa bangi.
Mlokole gani huyo..weka mambo hadharani mkuu
 
Tunashukuru mama samia anamkubali piere

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Huyu mzee ni commedian, na makonda ni sadist, anawaona wakina wema sepetu watu wa maana, kwa kukaa uchi na kulala na nusu ya wanaume wa dar, mtu wa watu kakubalika na anajitafutia riziki, leo una smear in public? Huku hakuna tume ya uchaguzi mnayechezea , huku kuna mioyo yetu, pierre atabaki kuwa juu, naomba watu wote walioguswa na hili waache kwenda kula kwa shilole, amabye nae alimdiss, huyu mzee kwani chakula chake anachanganya na mkojo wake, mfyuuuuuuu
 
Alafu kile kipande cha video kinamuonesha Piere anamtukana mwandishi wa habari ni Part ndogo ya video nzima ambayo Piere aliambiwa aigize kama anaonesha dharau... Wapuuzi wakachukua kipande kidogo cha video nzima wakakipost... Wasafi nao ni wangese tu kama bashite. Wanataka wao tu ndo wawee topic in town...[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana, niliona kakipande tu kale.!
 
Back
Top Bottom