Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

Acha umbwenyeye wewe mleta mada au na wewe ni walewale, kuna maadili gani kiongozi kutamka hadharan kuwa vinywaji vishushwe bei tim flan ikifunga.
Hao marafiki zake ambao ni wasanii wanamaadili gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are right for what you said.But come again to re-correct your statement.Look it below;

"Teo wrongs don't make right" What do you mean?

Teo or two??

Hahahahahaaa!!!Worry out,it just my joke@Janjaweed
Teo wrongs don't make right

Pierre, wema ndio hao hao

We can't continue glorifying drunkards and hoots Kama role models

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo la kusema vile lilikua ni kwa ajili ya kuwaelimisha wanafunzi wasije kuiga mfano kama wa uyo Mlevi..

Ibaki watu wapate umaarufu kupitia njia nzuri na sio kwa ulevi. kwa mujibu wa hiyo kampeni ya Tokomeza Zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo habari ya piere sijui ni team kiba umechemka mzee.

Piere akipanda jukwaani nyimbo yake kuu anayaitumia ni ya Diamond na Rayvan - Tetema na wametumia kionjo chake humo.

Hana team yeye anashoboka na yoyote anayejitokeza mbele yake hata wewe ukimnunulia bear anakuwa team wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda is right

Pierre is another bad example
Are Wema, Diamond, Rayvanny, Jokate good examples?

Acheni wivu wa kike. Hivi si huyo huyo Bashite alisema watu wanywe nusu bei....wanaokunywa ni akina nani kama sio walevi? Alitarajia mtu nisiyekunywa pombe kama mimi nikalewe?

Bashite ajiangalie sana. Ana roho mbaya kama babake Jiwe.

Kila sector ina watu wake. Na pierre konki faya....mama nakufaaa ni wa sector ya wanywaji. Aacheni wivu wa kike.
Bashite hana busara. Sasa alitaka yeye ndio awe brand ambassador?


Sent using my Nokia Torch
 
Kuna watu hawajui Wasafi media ni ya nani...
Ukweli ni kwamba Makonda ana zaidi ya 50% hisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piere namuona ni comedian kama comedian wengine tu inawezekana hata sio mlevi kihivyo anavyoonekana, kuna yule jamaa alikuwa ana act character za ulevi kule kaole sijui anaitwa nan yule mbona alikuwa hashukiwi na kudhalilishwa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji23][emoji23][emoji23] halafu kwenye reply yangu moja jamaa kaniita senior idiot... Nimeishia kumshukuru ila sasa anapata za uso huko kwa wengine mpaka anatia huruma

Jr[emoji769]
 
Acheni ungese....hivi bashite aliposema wanywe nusu bei uadhani watoto wetu hawakusikia? Au hawaoni


Sent using my Nokia Torch
 
Hakuna kitu kama hicho, aliulizwa mbona inasemekana hana makazi analala kwa Lily mmiliki wa Liquid ndiyo hiyo Piere akapanic.

Waandishi wa habari ni wapuuzi kwanini unafunga safari kwenda kumuhoji mtu ameshika bia mkononi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…