Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Hajui kama ktk mshahara wake kuna percent kadhaa ya kodi ya wanywa likwidi aka gambe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teo wrongs don't make right
Pierre, wema ndio hao hao
We can't continue glorifying drunkards and hoots Kama role models
Shida ya wabongo ni unafiki tunajiona wasafi na perfect 100% kumbe ni ujinga ujinga tu hatuna cha maana.Kila mja na riziki yake wako wapi hao mifano bora? Wema Sepetu? Makonda? Juzi si walisema kuna mtu kafoji vyeti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo habari ya piere sijui ni team kiba umechemka mzee.Kosa la Pieri Likwidi konk ni kuwa timu kibakuli, wakati Bashite ni mlezi wa wachafu.
Pili likwidi konk alimtukana mwandishi wa habari sijajua ni wawasafi maana mbele yake ilikuwepo maiki ya WCB.
Bifu la Wasafi na Likwidi lilianzia kwenye wimbo wa tetema, Reyvan aliingiza maneno na vionjo vya Likwidi bila ridhaa yake.
Likwid akasema wangemwomba ama kumshirikisha yeye mwenyewe ama wampe hata kifuta jasho Wasafi wakakaza.
Ukitaka kujua Bashite anaroho mbaya, huyo Pieri kwenye uhamasishaji Taifa stars alitumika, ila kwenye mechi akazuiwa na Pieri likwidi alitaka aingie kwa masupastar akazuiwa.
Kwenye hafla ya ikulu jina lake lilikatwa, japo Mama Samia kwa heshima na taadhima akamtaja kwa kutambua mchango wa Pieri Likwid konk....hicho kitendo kilimuuma sana Bashite.
Sasa leo mkuu wa wilaya akamwalika kwenye shughuli ya tokomeza ziro, hiki kitendo kimemuuma sana Rais wa Dar kuona jamaa anazidi kuwa juu/kileleni.
Kuna hatari hata makampuni yaliyoanza kufanya kazi na Pier yakasitisha mikataba iwe kwa hiari ama kwa lazima maana Rais wa Dar hapendizwi na wanachokifanya.
Pole Likwid Pierr Konk utabaki kuwa juu kileleni.
Ana mchango gani kenge maji huyoMakamu wa rais Mama Samia, aliona mchango wa piere kwenye timu ya taifa na kumpa sifa zake.:.
Sent using Jamii Forums mobile app
Are Wema, Diamond, Rayvanny, Jokate good examples?Makonda is right
Pierre is another bad example
Samahani mkuu, huyo piere anafanya comedy ipi??Pierre komedi
Wem@ mdangaji video zke hata Ukienda xvds zipo kibaooo
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu hawajui Wasafi media ni ya nani...Kosa la Pieri Likwidi konk ni kuwa timu kibakuli, wakati Bashite ni mlezi wa wachafu.
Pili likwidi konk alimtukana mwandishi wa habari sijajua ni wawasafi maana mbele yake ilikuwepo maiki ya WCB.
Bifu la Wasafi na Likwidi lilianzia kwenye wimbo wa tetema, Reyvan aliingiza maneno na vionjo vya Likwidi bila ridhaa yake.
Likwid akasema wangemwomba ama kumshirikisha yeye mwenyewe ama wampe hata kifuta jasho Wasafi wakakaza.
Ukitaka kujua Bashite anaroho mbaya, huyo Pieri kwenye uhamasishaji Taifa stars alitumika, ila kwenye mechi akazuiwa na Pieri likwidi alitaka aingie kwa masupastar akazuiwa.
Kwenye hafla ya ikulu jina lake lilikatwa, japo Mama Samia kwa heshima na taadhima akamtaja kwa kutambua mchango wa Pieri Likwid konk....hicho kitendo kilimuuma sana Bashite.
Sasa leo mkuu wa wilaya akamwalika kwenye shughuli ya tokomeza ziro, hiki kitendo kimemuuma sana Rais wa Dar kuona jamaa anazidi kuwa juu/kileleni.
Kuna hatari hata makampuni yaliyoanza kufanya kazi na Pier yakasitisha mikataba iwe kwa hiari ama kwa lazima maana Rais wa Dar hapendizwi na wanachokifanya.
Pole Likwid Pierr Konk utabaki kuwa juu kileleni.
[emoji23][emoji23][emoji23] halafu kwenye reply yangu moja jamaa kaniita senior idiot... Nimeishia kumshukuru ila sasa anapata za uso huko kwa wengine mpaka anatia hurumaAchana nao hao wafunga kamba za viatu za wenye nafasi kubwa ili waonekane.
Wananikera maana wanatetea hata uozo.
Ina maana wao hawajui kuwa kwenye jamii watu hawafanani?
Mbona wao wanatetea upumbavu na tunawaona wana maana hatuwaweki kwenye kundi la watu wa hovyo
Acheni ungese....hivi bashite aliposema wanywe nusu bei uadhani watoto wetu hawakusikia? Au hawaoniAnachofanya Pierre hakiwezi kuigwa na mwanao wala kizazi kinachochipukia,wewe unaweza kumuona mwanao akaitwa ni mlevi wa taifa na ukamtazama tu?hao wahuni wengine wanaokwendaga mahakamani kila uchao unaowasema nao pia ni wenye tabia mbaya ambayo huyo Makonda aliwahi kuwakemea pale alipowahusisha na madawa ya kulevya
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Nani huyo tumshulikie[emoji23][emoji23][emoji23] halafu kwenye reply yangu moja jamaa kaniita senior idiot... Nimeishia kumshukuru ila sasa anapata za uso huko kwa wengine mpaka anatia huruma
Jr[emoji769]
Hakuna kitu kama hicho, aliulizwa mbona inasemekana hana makazi analala kwa Lily mmiliki wa Liquid ndiyo hiyo Piere akapanic.Alafu kile kipande cha video kinamuonesha Piere anamtukana mwandishi wa habari ni Part ndogo ya video nzima ambayo Piere aliambiwa aigize kama anaonesha dharau... Wapuuzi wakachukua kipande kidogo cha video nzima wakakipost... Wasafi nao ni wangese tu kama bashite. Wanataka wao tu ndo wawee topic in town...[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ma repota wa bongo elimu kisoda,Hakuna kitu kama hicho, aliulizwa mbona inasemekana hana makazi analala kwa Lily mmiliki wa Liquid ndiyo hiyo Piere akapanic.
Waandishi wa habari ni wapuuzi kwanini unafunga safari kwenda kumuhoji mtu ameshika bia mkononi?
Sent using Jamii Forums mobile app