Alichofanya Tundu Lissu, ndicho alichofanya Zitto Kabwe, kwa Rais Samia

Nimemuambia Rais Samia kwamba kesi ya Mbowe haikisaidii Chama chake Rais (CCM), haikisaidii Chama chetu (CHADEMA), inamuumiza Mwenyekiti wetu Mbowe na Chama chake, inawaumiza Walinzi wake na Familia zao na inazidi kutugawa Watanzania" ——— Tundu Lissu
 
Hiyo sentence haina sehemu yeyote ya yenye mwelekeo wa kuomba msamaha bali inasema zaidi ya kuumiza watu bure wakuna anayefaidika ... let's end this !!
 
Yawezekana mtoa mada Great Thinker wa miaka mingi Ritz ndiye Zitto mwenyewe,amekwazika kwa Lissu kuongea na Mh.Rais Samia mubashara-Face2Face akidhani itampunguzia umaarufu wake.
Maybe!
 
Sisi Chadema hatuna haja ya Majadiliano na Rais Samia hadi hapo Mbowe atakaoachiwa huru bila masharti😄😄😄😄😄😄😄
Wewe nuna ila wenzako tunasonga🤔
 
Hawa wanasiasa wanawavuruga sana wafuasi wao
 
Hapo ndipo ujue hata wabunge 19 wa viti maalumu wako kihalali bungeni
 
Sisi Chadema hatuna haja ya Majadiliano na Rais Samia hadi hapo Mbowe atakaoachiwa huru bila masharti😄😄😄😄😄😄😄
Hoja zako ni ipi?Wewe kama Mkongwe unataka kuchochea kuni ili pasiwe na muafaka wowote kwa manufaa ya Mama Tanzania?Je,hauoni kuwa kesi ya mchongo ilivyojifuta bila masharti yoyote tangia majuzi?

Imeisha Mkuu na sasa kwa kasi ya mwanga tunarejea kwa Hoja Kuu ambayo ni Katiba Mpya kwa manufaa na ustawi wa Taifa letu.
Unaonaje Ritz,unakwama wapi?
 
Hiyo sentence haina sehemu yeyote ya yenye mwelekeo wa kuomba msamaha bali inasema zaid ya kumiza watu wakuna anayefaidika ... let's end this !!
Well cemented.Soon tutaongea lugha moja nayo ni Katiba mpya.
 
lissu kaomba poo mbowe atoke kesho msije mkasema kashinda kesi lissu kaomba aachiwe
Unataka kusema umetabiri hukumu ya kesho?Kwani Lissu ndiyo Mbowe?Jaji akiamua kuwa washtakiwa hawana kesi ya kujibu kesho tarehe 18.02.2022 itakuwa kwa sababu ya kikao cha Ubelgiji?

Mh.Mbowe siyo gaidi and No Case to Answer.
 
Mmetema ndoano mapema sana makamanda. 🎣 😂
Waliotema ndoano Akina nani sisi nyie, na bahati iliyonjema ni kuwa mtawatema hata dagaa tuliowatumia kama chambo kuwanasia🤸.
 
Anakwamia lumbumba huyu sii bure.
 
Nyumbu wanasiasa za kitoto sana!
Leo wanaamua kula matapishi ya Zitto, bila haya wanampigia magoti Samia amuachie huru Freeman.

Sasa utajiuliza Freeman aachiwe huru kwa lipi? Utawasikia eti kesi ya kubumba...Hahaha kesi ya kubumba!

Sasa nyumbu kwa nini msiache mvua iendelee kunya tujue wapi panapovuja. Hizi kelele za msamaha mnataka Samia aingilie uhuru wa mahakama? Hilo hatutokubali, Mbowe ataendelea kwenda mahakamani mpaka ukweli ujulikane!
 
Lissu ni mdhaifu sana kisiasa, siku zote huwa naandika hapa adui kuna wakati lazima awe karibu yako kufikia lile lile lengo lako, sioni tofauti yoyote mama alivyokutana na kina Lipumba, Zitto kabwe, Mbatia, Marema nk. na yeye alivyokutana naye kule Brussels
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…