KWA mtazamo wangu,kosa la Zito ni
1:kusema Chadema hawajafika Dodoma kwenye kikao na SSH KWA sababu zao wenyewe,akijua Chadema wanataka katiba mpya na si tumehuru ndani ya katiba chakavu.
2:Kuacha kuzungumzia maada za kikao na kumuombea Mbowe msamaha na ingawa kesi inaendlea mahakamani.
3:Kutafuta kiki KWA kesi ya Mbowe ionekane yeye ndo ka play part kubwa kumfanya Mbowe awe huru,ingawa Chadema wanamsimamo wao kuhusu kesi hiyo.
4:Kujifanya front line wa Chadema na ingawa Chadema wenyewe wapo.
Ila KWA Lisu kuzungumzia jambo hilo kama n kweli wamezungumzia,ni sahihi KWA kuwa yeye ni makamu Mwenyekiti wa Chadema, na tangu hapo inaweza kuwa fursa muhimu KWA Chadema kuzungumza na serikali maana vyama vingine wamezungumza na serikali