kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Chadema wana matatizo sana ,zitto alipotoa ombi kwa raisi ili Mbowe asamehewe walishupaza shingo .
Na kusema hawahitaji huruma wala hawakumtuma zitto,leo hii Lissu nae kaomba kwa raisi Mbowe asamehewe na achiwe wamekaa na kweli wanakenua.kana kwamba Lissu kasema la maana na tofauti kumzidi zitto .
Hatuoni tofaufi labda Lissu kaomba akiwa ulaya na zitto yupo bongo.
Chadema wacheni unaa mpeni zitto sifa zake za kiongozi amewazidi sana!