Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambacho haufahamu ama kwa makusudi au kwa ujinga wa kutokuwa na taarifa...Wanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.
Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.
Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.
Salaam Wakuu,Wanaukumbi.

Lissu AMEOMBA kukutana na Mama Samia. Zitto didn’t. Sio Lissu huyu huyu aliyesema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti? Mnapokuwa waongo basi muwe na kumbukumbu 🤣
Cc Jasusi
Unauhakika kuwa ndiyo ilo ombi,, nani alienda ubeligiji?Wanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.
Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.
Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.
Mama pole baridi mshono unaumaShort and clear
Haya nenda kaswaliWanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.
Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.
Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.
Leo umefuata nini? UnaaaUSIWAAMINI WANASIASA NDUGU ZANGU, MI TOKA KIPINDI KILE CHADEMA WAMPOKEE LOWASA NDANI YA CHAMA NA KUMPA NAFASI YA KUGOMBEA URAISI NILIAMUA KUKAA KANDO NA MAMBO YA POLTICS.
Hawawezi kuacha kumsifia Kwa sababu wafuasi wote wa CHADEMA wanajua kinachoendelea mahakamani. Wanajua alichoongea Makamu Mwenyekiti wao Hakuna neno tunaomba umsamehe Mbowe. Kama Zitto angemweleza Samia ukweli kama aliomweleza Tundu Lissu Hakuna ambaye angemlaumu. Samia aliombwa na Zitto amsamehe Mbowe Kwa kosa gani alilotenda Mbowe?Wanaukumbi.
Tundu Lissu, ameomba kukutana na Raia Samia moja ya ombi ilikuwa ni suala la Freeman Mbowe, alimalise Mbowe atoke jela, ombi hilo ndiyo aliomba Zitto Kabwe, kwa Rais Samia lakini alishambuliwa na wafuasi wa Chadema utadhani kafanya kosa la jinai.
Tundu Lissu, huyu huyu aliyesema Chadema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti.
Wafuasi wa Chadema walivyokuwa wanafiki wanamsifia Tundu Lissu.
Wivu unawatesa.Tundu lissu ni njaa tu inamtesa
Hiyo nukuu ya pili LISSU alikuwa anamwambia Rais au MARIA SARUNGI??Acha kupotosha uma.Tuna kumbukumbu vizuri sana.
Kuna tofauti kati ya kusema;
“Mwenzetu hayupo hapa kwa sababu ana changamoto za kisheria, itafutwe namna, ASAMEHEWE” - Zitto Kabwe
na
“Kesi ya mwenyekiti Mbowe ni ubatili mtupu na ushahidi ni wa uongo na hailisaidii taifa kwa lolote, IONDOLEWE” - Tundu Lissu
Unachekesha sana!!Jibu ni kwamba Tundu Lissu ni mwanafamilia wa Mbowe so anaweza kupresent msimamo wa familia kuliko mamluki kama Zitto kuingilia suala hilo lisilomuhusu,hatujuhi msimamo wa CHADEMA inside kuhusu suala hili ni nini lakini inamake sense mwanafamilia akiongelea jambo linalohusu familia kuliko stranger from nowhere ambaye hachelewi kubadilika...
Nafikiri tatizo lilikuwa maneno tu ya kusema tunamwombea msamaha Mbowe na wengi wa Chadema wakasema msamaha kivipi wakati hana kosa! Ni tofauti sana na Lissu ambaye kasema kesi ya mbowe ni ya kutunga. Kumuombea mtu msamaha kisheria ni sawa na kukubali makosa na hapo ndiyo ilikuwa tatizo kwa mawazo yangu
Acha KUPOTOSHAWanaukumbi.