Alichokifanya Irene Uwoya kwenye utambulisho wa Swahiliflix ni ushamba na urimbukeni wa pesa

Waandishi na Ripota kama hawa unategemea kweli taaluma hii iheshimike na iwe mhimili wa nne wa nchi?[emoji2365]
 
Ye nae si angesubiri baada ya interview ndio amwage hizo pesa

Ujinga tu
 
KWA MTAZAMO WANGU SWALA LA ETHICS ZA WAHARIRI, WAANDISHI NA WATANGAZAJI HABARI LIMETIWA DOA NA KITENDO KAMA HICHO. ZINABIDI ZITUMIKE TARATIBU MAALUM ZA KUHITISHA WANA HABARI WENYE WELEDI NA WANAOTAMBULIKA KISHERIA NA PIA ADABU YA WENYE KUTOA TAARIFA IZINGATIWE. NDIO MAANA KUNA KUWA NA WATU KWENYE TAASISI KAMA PUBLIC RELATIONS OFFICER'S, SPEAKER NA N.K ILA KUFANYA KILA MTU NI MUONGEAJI KWENYE MHADHARA WA MEDIA SIO JAMBO SAHIHI SANA.
 
Tasnia ya waandishi ya habari ina haribiwa sana,siku hizi hata ukimiliki account ya Youtube basi nawe mwandishi wa habari.Unaweza ukakuta hapo 80% sio waandishi wa habari,alafu sometimes wana andika habari za uongo ili mradi wapate viewers,hawajui wanao wachafua wanafamila zao, wao hawajali wanachotaka ni viewers.
 


Tazama video hii kuanzia dakika ya 37

Kisaikolojia Watu ambao Makuzi yao yalikuwa ni ya Kimasikini na hawakupata Malezi bora ya Wazazi na yale ya Kiimani ( Dini ) wakibahatisha tu kupata Pesa ni lazima tu watafanya si tu mambo ya Ajabu bali pia wataonyesha Ushamba wao. Na mara nyingi Vitendo vyao hivi kama alivyofanya huyu Mwanadada huwa ni kama vile Wanajilaani wenyewe bila kujua na siku si nyingi Maisha yatakuja kumpiga na atakuja Kuziwaza hizo Hela ambazo leo wanazitupa hivyo. Watu Matajiri na Maarufu wengi Tanzania wanahitaji sana Watu wa Saikolojia ili waweze Kuwajenga vyema ila bahati mbaya wa hapa hawafanyi hivyo.
 
"Kitendo chochote kitahesabika kama ni uhujumu uchumi kama kitahusisha Kurusha fedha kwa mtindo wa sandakalawe "....
 
Alitaka aonekane kama kina papaaaa musofe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…