Alichokifanya leo Makonda ndo Jambo analoweza zaidi. Naionea huruma Tanzania

kwaiyo wakuu mnasema kumweka makonda ..
......ni bora tumweke mwijaku amoe mama shikamoo za kutosha .......hotuba ya mwijaku itajaa shikamoo kwa rais mawazir mpaka wafanya usafi ......
 
Makonda ana tofauti gani na Samia ?

Pamoja ya kwamba mengi uliyo andika kuhusu China ni uzushi tu.
Ww Unaelimishwa kuhusu China na utaratibu wake kimaendeleo hutaki inawezekana ww hujui mambo ya kimataifa,unapoelimishwa kubali,ni ukweli usiopingika kwamba tunahitaji Economic regions kuliko political regions huo ndio ukweli,vijana wengi hawana ajira na mfumo wa Elimu ni uleule mbovu na hauna tija kwa watanzania.CCM inaharibu sana nchi hii lkn ipo siku inakuja
 
Sijui hata umeandika nini ? Hii ndio elimu yenyewe unayo izungumzia au kuna nyingine ?

Economic regions, political regions nini hiki ?

Au unazungumzia SEZs ?
 
Makonda ni Sokoine wa Karne hii 🐒

Sokoine hakupendwa na wavivu hata kidogo, alikua hafurahishi mtu...

alisema na kutenda.
kwa sababu ya utendaji wake wa wazi hakupendwa mpaka alipo kufa 🐒

Makonda na Sokoine ni twins 🐒
 
Sijui hata umeandika nini ? Hii ndio elimu yenyewe unayo izungumzia au kuna nyingine ?

Economic regions, political regions nini hiki ?

Au unazungumzia SEZs ?
Ukielekezwa na mtu wa kwanza huelewi then akaja mtu pili huelewi ujue ww ni kilaza tu.
 
Duh!...hao ndio viongozi wetu
 
Ccm yako hiyo....
 
Yule BASHITE kwa ile IQ yake ndogo,cheo angalau anachotakiwa kuwa nacho ni UKUU wa KAYA..period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…