Alichokifanya leo Makonda ndo Jambo analoweza zaidi. Naionea huruma Tanzania

kwa pamoja, waTanzania wote kwa umoja wetu, tunasonga mbele bila mihemko wala gubu πŸ’
Watu wenye mandevu wenye akili timamu ni Hashim Rungwe, Muamar Gaddafi pamoja na Osama nyie wengine hayo madevu yafaa tuyakate tuyasage sage tutengeneze toilet paper
 
Watu wenye mandevu wenye akili timamu ni Hashim Rungwe, Muamar Gaddafi pamoja na Osama nyie wengine hayo madevu yafaa tuyakate tuyasage sage tutengeneze toilet paper
🀣 na mtengenezee still waya right?

lakin hata na hivyo kazi nzur sana Tanzania, ya kusukuma maendeleo ya wanainchi inafanyika, chini ya kiongozi wetu Dr.Samia Suluhu Hassan ambae sote tunampenda sana πŸ’
 
Unampenda ni mama ako?
 
Anafanya alichotumwa kufanya, ts not a coincidence!
 
Unampenda ni mama ako?
ni mama yangu mlezi, na kiongozi shupavu wa waTanzania wote. kwa hakika tunajivunia uskivu wake, huruma yake na nia yake njema kwa wanainchi wa Tanzania πŸ’

Dr Samia Suluhu Hassan, Tanzanians loves you very much 🌹
 
Anafanya alichotumwa kufanya, ts not a coincidence!
Basi nina mashaka sana na huyo anayemtuma! Is it necessary? Inasaidiaje kwenye uchumi wa nchi na maendeleo ya wananchi?
 
ni mama yangu mlezi, na kiongozi shupavu wa waTanzania wote. kwa hakika tunajivunia uskivu wake, huruma yake na nia yake njema kwa wanainchi wa Tanzania πŸ’

Dr Samia Suluhu Hassan, Tanzanians loves you very much 🌹
Zaidi ya uchawa kuna mishe zozote unafanya? Uchawa ni umama
 
Zaidi ya uchawa kuna mishe zozote unafanya? Uchawa ni umama
kazi ya kutumika wanaichi na kuwaletea maendeleo, itaendelea kufanywa na CCM na Serikali yake kwa bidii zaidi, bila kuzingatia mbambamba yoyote, mihemko wala gubu πŸ’
 
How old are you?
 
Mimi siwezi, lakini akitokea mtu hapa akakujibu kuwa wewe ni mpuuzi sitashangaa maana umeonyesha hivyo ingawa mimi siwezi kukuita hivyo hata kama ndivyo ulivyo.
 
Mimi siwezi, lakini akitokea mtu hapa akakujibu kuwa wewe ni mpuuzi sitashangaa maana umeonyesha hivyo ingawa mimi siwezi kukuita hivyo hata kama ndivyo ulivyo.
sina haja ya kubabaika na mihemko wala gubu ya mtu awaye yeyote dhidi ya Ukweli jadidi kama huo πŸ’

wew pamoja na wengine it's mimi kivyovyote kadiri ya mafunzo ya kule kwenye idara yenu but haiwezi kutikisa wala kufuta Ukweli kwamba.....

Yule hayati Moringe Sokoine is the like of Paul Christian Makonda in terms of leadership styles, commitment and openness πŸ’

Yu LiKe oR nOTπŸ’
 
Makamba jr katika kujitetea. Umekwama safari hii
 
wishes and riding horses isn't it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…