Alichonifanyia huyu mama Ubungo stendi ya mabasi sio uungwana

Usingemfukuza mkuu ni ujinga tu ulikua unamsumbua, alifikiri kw hiamba akimaliza Chuo amemaliza maisha yaan atapata kazi na kuendelea na mambo mengine bila wewe,
 
Safi sana..
 
Aiseeee next time usifanye hilo kosa Tena. Unasafirisha binadamu! Parcel? Labda niwe nakufahamu nje ndani
 
Nimetafakari hiki kisa...

Nimeona kuna kosa moja la 'kiufundi' ambalo lingeweza kukugharimu...

Unaanzaje kukubali kuambatana na mtoto mdogo usiyemjua wala hakujui, hujui historia yake, humjui aliyekukabidhi, hujui afya yake...

Siku nyingine unaweza kuja kupatana na kesi zisizo na kichwa wala miguu, na nchi yetu ilivyo hadi ijulikane huna hatia utakuwa ushapoteza vingi...

Ukiacha hilo, kuna siku utakuja kuuziwa jumba bovu, kumbe mtu anatafuta magali tu pa kumdump mtoto maana yeye kashindwa malezi...
 
Hio ndio concern yangu KUBWA sana, angemkabidhi dereva au conductor. Wema mwingine ni hatari kwako mwenyewe
 
Hao watakua ni watu Wa Musoma/Tarime,cha kufanya Andika sms umtumie yule wa Mwanza Mwambie Tumepat Ajali mtoto kaumia sana tupo hospital Tangu juzi,Leo ndo tumepata Ahueni,
Huyo mdada Lazima atapiga,akipiga unampa vidonge.
 
Hao watakua ni watu Wa Musoma/Tarime,cha kufanya Andika sms umtumie yule wa Mwanza Mwambie Tumepat Ajali mtoto kaumia sana tupo hospital Tangu juzi,Leo ndo tumepata Ahueni,
Huyo mdada Lazima atapiga,akipiga unampa vidonge.
Alishajua kuwa mzigo umefika!
 

Hiyo ilinikuta mkuu, alikuwa ni manzi 1 hivi nilimtumia kama 50k. Tena nikampigia simu umeipata?? Alijibu kishujaa bila hata shukrani man, nilipata hasira nikasema shenzi hata Ahsante hana nikarudisha muamala within a minute.
Baadae anakuja kunipigia nikamwambia ajifunze shukrani
 

Pengine ni hela ya hesabu usimlaumu sana.
 
...Jingazz Sana hao. Uwe TU na Amani Mkuu. Umeishanya wema wako nenda wako. Achana nao Wajingazz hao...!
 
Angalizo tu usikubali kufanya kitu kama hichi tena. Kama mtu humjui au huwajui usifanye ujinga kama huu unadhani ingetokea kitu kwa yule mtoto? au labda mtoto kaibiwa unaweza kuingia kwenye matatizo makubwa kwa nia yako nzuri tu, angetaka angemkabidhi kwa wenye bus akalipia sio wewe. muhimu pole ila chukuwa kama funzo usikubali kuchukua mtu wala mzigo wa mtu.
 
Wanawake wengi sikuhizi hawana hata ule utu wa kawaida.
Wameharibiwa na maisha ya kimjini mjini
 
Kitendo cha Mama wa huyo mtoto kua anakubipu kila muda kilikua kinatosha kabisa kwako kutambua kwamba hao watu sio wastaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…