Au sio! Sasa tofauti yake na Amber Rutty ni ipi?!Sasa kama wanaleta utoto kwanini nae asilete utoto?
Nkwimba una yako tu.....Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je?
Toka tulia achukue nafasi ya sugu,mbeya mjini pametulia sana hata mafujo ya hovyohovyo hamnaItakuwa una level moja ya fikra kama yeye.Sikulaumu.
Hebu smile kidogo [emoji1787][emoji1787]Itakuwa una level moja ya fikra kama yeye.Sikulaumu.
Hii nchi hadi huruma,viongozi ni wabinafsi sana.Tulia hebu ongonza Mbeya ,eti jimbo kubwa wakati kila mara unafanya sherehe tu.Nimesikia kuna Tulia marathon sijui.Jitahidi kujenga huduma.kwa wananchi.Wananchi wanahitaji maendeleo na si sherehe kila mara kwa sasa.Maendeleo kwanza,sherehe baadae.
Tumia browservideo inasemaje haifunguki kwangu
Uitishwe hata sasa hivi....Sugu anapigwa kweupeeeeeeSugu Kwa mbeya ajipange Sana aisee
[emoji2956]Sugu Kwa mbeya ajipange Sana aisee
Basi na Mbagala igawanywe.Hii nchi hadi huruma,viongozi ni wabinafsi sana.Tulia hebu ongonza Mbeya ,eti jimbo kubwa wakati kila mara unafanya sherehe tu.Nimesikia kuna Tulia marathon sijui.Jitahidi kujenga huduma.kwa wananchi.Wananchi wanahitaji maendeleo na si sherehe kila mara kwa sasa.Maendeleo kwanza,sherehe baadae.
[emoji2956][emoji2956]Toka tulia achukue nafasi ya sugu,mbeya mjini pametulia sana hata mafujo ya hovyohovyo hamna
Kwa hiyo kuwa Spika kunamzuia mtu asiSOCIALIZE?!!!![emoji849][emoji1787][emoji1787]Au sio! Sasa tofauti yake na Amber Rutty ni ipi?!