Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

Haya hivi sisi wananchi ,huyu Speaker anaetaka jimbo ligawanywe,kwanza anaweka mzigo kwa wananchi,hapo linaongezeka Shangingi jingine,mshahara wa mbunge,mafao 300M +

Hizo zingesaidia sana wananchi.Halafu jamani huko majimboni si kuna watendaji wengine? Huyu Speaker anaonyesha dharau, anapost video kama hiyo kweli?
 
Hii nchi hadi huruma, viongozi ni wabinafsi sana. Tulia hebu ongonza Mbeya ,eti jimbo kubwa wakati kila mara unafanya sherehe tu. Nimesikia kuna Tuliamarathon sijui. Jitahidi kujenga huduma kwa wananchi.

Wananchi wanahitaji maendeleo na si sherehe kila mara kwa sasa. Maendeleo kwanza, sherehe baadae.
 
Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je?

Nkwimba una yako tu.....

Hiyo ni SOCIAL MEDIA...kwa hiyo mh.Spika si binadamu wa kufanya naye matani ?!!!!

Mmmh msukuma una tabu wewe[emoji1787][emoji1787]
 
Hii nchi hadi huruma,viongozi ni wabinafsi sana.Tulia hebu ongonza Mbeya ,eti jimbo kubwa wakati kila mara unafanya sherehe tu.Nimesikia kuna Tulia marathon sijui.Jitahidi kujenga huduma.kwa wananchi.Wananchi wanahitaji maendeleo na si sherehe kila mara kwa sasa.Maendeleo kwanza,sherehe baadae.

video inasemaje haifunguki kwangu

nshaiona now.
 
Hii nchi hadi huruma,viongozi ni wabinafsi sana.Tulia hebu ongonza Mbeya ,eti jimbo kubwa wakati kila mara unafanya sherehe tu.Nimesikia kuna Tulia marathon sijui.Jitahidi kujenga huduma.kwa wananchi.Wananchi wanahitaji maendeleo na si sherehe kila mara kwa sasa.Maendeleo kwanza,sherehe baadae.
Basi na Mbagala igawanywe.
 
Back
Top Bottom