Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
AGOA gani wakati nchi zote zimepigwa tariffs?China alishajiandaa kwa kupunguza kuitegemea Marekani tangu 2019
Niwakizacho mimi ni AGOA ni kama na yenyewe mwisho wake unakaribia
Trump is fighting a losing battle."Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104%
Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China, serikali ya China ilishasema; China itapambana hii vita mpka mwisho.
Trump aache kuwazia eti kuna siku China itawapigia simu wakae mezani waanze kubargain. He should stop begging for China to call.
HIi vita hakuna cha kusubiri simu ni toa niweke. Tayari msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China ametoa tamko baada ya Marekani kuipandishia China ushuru kufikia 104%
"China is not a seeker of trouble. But make no mistake: when challenged we will never back down."
– Lin Jian (Foreign Ministry Spokeperson)
Duh kazi ipoAGOA gani wakati nchi zote zimepigwa tariffs?
Hii sio China tu bali ni dunia nzima mpaka na hata Marekani itamtesaChina ameyakanyaga atakula hadi chura wa mapambo safari hii😁😁
Huu ni ukweli ambao wengi hawaujui Wachina walishajua nini kitafuata Trump akishinda uraisiChina alishajiandaa kwa kupunguza kuitegemea Marekani tangu 2019
Umeongea point sana kwa sababu lengo la MAGA ni kurudisha manufacturing MarekaniTrump is fighting a losing battle.
Hata China aki negotiate tariffs - and I hope they don't- Trump hawezi kurudisha manufacturing US kwa sababu nyingine nyingi sana tu.
Trump apigwe tu, maana hamna jinsi.
"Tunasubiri simu zao" hivyo ndivyo Trump alivyopost kwenye akaunti yake baada ya Marekani kuongeza ushuru kwa China kufikia 104%
Tangu mwanzoni kabisa Trump alipoanza kuiongezea ushuru China, serikali ya China ilishasema; China itapambana hii vita mpka mwisho.
Trump aache kuwazia eti kuna siku China itawapigia simu wakae mezani waanze kubargain. He should stop begging for China to call.
HIi vita hakuna cha kusubiri simu ni toa niweke. Tayari msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China ametoa tamko baada ya Marekani kuipandishia China ushuru kufikia 104%
"China is not a seeker of trouble. But make no mistake: when challenged we will never back down."
– Lin Jian (Foreign Ministry Spokeperson)
BIdhaa za viwandani za Marekani hata Wamarekani wenyewe wanazikimbia wanapolinganisha bei na za kutoka mataifa mengineManufacturing and production cost viwandani USA, bei zake mtaani wengi wataweza kununuwa hizo bidhaa?
Trump na Musk wanaingamiza USA....
Kwani Agoa Tanzania tuna nini cha kupoteza.China alishajiandaa kwa kupunguza kuitegemea Marekani tangu 2019
Niwakizacho mimi ni AGOA ni kama na yenyewe mwisho wake unakaribia
Haituathiri kabisa, exports zetu USA ni chache sana! Surprise surprise!Kwani Agoa Tanzania tuna nini cha kupoteza.
Kwa hiyo wewe wa Mbagala kwa Mfuga Nyoka ndio unafahamu kuwazidi wamarekani, subiri ukanywe tangawizi kijiweni uende kibaruani.BIdhaa za viwandani za Marekani hata Wamarekani wenyewe wanazikimbia wanapolinganisha bei na za kutoka mataifa mengine
Suala la kurudisha manufacturing Marekani ni ndoto za mchana. Hakuna Mmarekani anayeweza kufanya kazi kwa masaa mengi na ujira mdogo kama anaopewa mfanyakazi wa kutengeneza viatu vya NIKE pale Vietnam au iPhone pale India
Kwa sasa Wamarekani wataendelea kusota kwa kupanda kwa gharama za bidhaa wanazoimport kufuatia Trump kuziongezea ushuru nchi zinazoexport bidhaa Marekani
Ni chache gani au hazipo kabisa..!!Haituathiri kabisa, exports zetu USA ni chache sana! Surprise surprise!