Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
-
- #201
Marekani inaihitaji zaidi ChinaWEWE MBWA WA UCHINA HIVI KWA KUANGALIA TRADE DEFICIT UNAHISI SOKO LA NANI LINA MUHITAJI NANI CHINA EXPORT 450BILION WHILE US EXPORT ONLY 140B SASA HAPO UNAHISI NANI ANAMUHITAJI NANI ??AU UMEKAA NA PUMBU ZAKO CHINA LENGO LSKE KUUA NGUVU KAZI YA ULIMWENGU MZIMA ILI KILA KITU KITOKE CHINA WEWE UMEKAA UNAKENUA PUNYE ZA MATAKO NENDA HUKO GWAZHU KAUZE NYAGOOOOO
Yeah vita bado mbichiUS tariffs on china now total 145%
kihistoria wanasema ni bora mchina ni bora mchina are ila sio kumtisha.104% ni kama kodi ya kuingiza pombe Tanzania hapo kazi ipo ila Wachina wanaangalia mbele sana wanajua haya mambo ni ya kupita kwa term za uongozi huko USA kwa hiyo hawawezi kukaa mezani kwa lolote lile jamaa wana misimamo kwa faida ya Nchi yao.
Hakuna. Yaani vile vimaua vichache ambavyo tunaweza kuwauzia wengine wengi Tu?Kwani Agoa Tanzania tuna nini cha kupoteza.