Alie jiposti status akiwa chini ya kifusi ameokolewa

Alie jiposti status akiwa chini ya kifusi ameokolewa

View attachment 3154487Usipoteze tumaini na Imani MOYONI mwako hii ndio hukupa nguvu ya kutokata tamaa. Mungu hutushindia tulio na tumaini na imani ili tuwe mashuhuda wa kati ya walikuwa na AMANI 🙏🏿

Mungu awalinde na awakoe kwa mkono wake wa ushindi ambao bado wanalotumaini katika mazingira ya kifusi na walioko hospital 🙏🏿
Atakuwa shabiki la YANGA akipata nafuu mwambieni Gamondi alifukuzwa
 
Ooh huenda, sasa na mtu akizaliwa ataambiwa auze za kike sababu kazaliwa na mwanamke 🙄🙄🙄🙄
Mimi nadhani alimaanisha kwa Imani yake. Maana aliendelea kitu kama aione pepo, kumrudia Muumba wake, kamuokoa.
Exactly. Kuna baadhi ya dini na mdhehebu yanaamini suruali ni vazi la kiume na hairuhusiwi mwanamke kuvaa mavaz ya kike na mwanamme kuvaa mavazi ya kike. Nadhani ndomana mdau akasema ivyo.
 
Back
Top Bottom