Aliingilia Msafara wa Mwenge na hicho ndicho Polisi waliamua kumfanyia. Je, ni haki?

Tumeliona tutalifanyia kazi
 

Chuki mbaya sana, Hao askari wangekua na chuki kama mtoa mada, Wangelitupa lililotoboka ili maharage ya mwagike wamkomoe.

Lakni ndo kwanza wameliegemeza juu ili yasimwagike.
 
Wamemwonea huruma sana. Huyo mtu angegongwa na gari la msafara angepoteza maisha na hata watu wa kwenye gari wangeweza pata madhara pia. Ila polisi pia wangeweza mpeleka mahakamani jamaa akafungwa na kuwa madhara zaidi kwa familia yake. Hao polisi wameonyesha utu sana. Naona wanafiki mnalaani polisi huku mkijua kabisa mwendesha pikipiki kafanya kosa.
 
Kwa hiyo harusi za watu kwa sababu hazipo kisheria basi una uhuru wa kwenda na kuvamia harusi ya mtu na usiwajibishwe?
Je yeye kisheria alikuwa sahihi kuingilia msafara wa mwenge hujui kuwa alikuwa anahatarisha maisha yake?
Unajua kusoma lakini?
Hapa tunaongelea habari ya misafara na siyo harusi unayo jaribu kuleta hapa?
Nchi hii imewahi kutambua misafara ya harusi??!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…