comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Habari yake ndio ishaisha hiyo, au labda wanalipwa milioni 5 kwa mweziKuna rafiki yangu ni polisi , kuna namna anajitenga sana na jamii na hata familia, nahisi ile kawaida ya utu haipo tena.
Hiyo ndiyo adhabu aliyostahili ?Acha kuwa na hisia za ajabu.
Mambo mengine tumia akili ya kawaida tu, we unavoona kaonewa..?
Sometimes hilo kama funzo tu, kwani wanajeshi ujaskia mara ngapi wanakamata watu wana wambia wagale gale hilo sula unazungumziaje..?
Mungu awe nasindio nani huyo na wawapi gentleman?🐒
Amen.Hii taarifa imekaa upande mmoja sana..
Ni tofauti na taarifa ya polisi itakavokuwa.
Ni vile mnawachukia tu ila deep down boda boda ndio kazingua.
Sheria zetu hazijasema mtu akitenda kosa mzigo wake utupwe mtaroni.Acha kuwa na hisia za ajabu.
Mambo mengine tumia akili ya kawaida tu, we unavoona kaonewa..?
Sometimes hilo kama funzo tu, kwani wanajeshi ujaskia mara ngapi wanakamata watu wana wambia wagale gale hilo sula unazungumziaje..?
Mungu daima ni mwema kwa waja wake wote gentleman 🐒Mungu awe nasi
Atuponye kwa Damu ya Yesu iliyomwagika pale msalabani.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Huna hela ya bando ?Utetezi wa KIJINGA kabisa.
Kuchukulia tu mambo kimzaha mzaha tuKwanini Sasa na yeye alifanya hivyo ? ....
Hakuna siku yule mzee alifanya nikajiskia vibaya kama siku ile.Kuna nchi fulani sikumbuki ni ipi rais wake aliamuru vifaranga vichomwe moto
Light bearer == Lucifer.Huo mwenge unafaida gani kiuhalisia
Haya wewe civilian njoo uwe front na familia yako tukufuateDawa ya moto ni moto. Hii nchi inahitaji kila civilian awe tayari kufa katika mapambano ya kupigania haki. Otherwise, hawa majambazi wa Serikali ya CCM hawatakaa watuheshimu!
Ikitokea kwa bahati mbaya hajafajamu, basi anakamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi mpaka mwenge upite halafu anapelekwa kituoni na mizigo yake anafanyiwa uchunguzi kama hakuwa na dhamira ya uhalifu basi anaonywa na kuachiwa na siyo kumwaga chakula kwenye mtaro. Haya, hebu tupe logic ya polisi kumwaga chakula kwenye mtaro!Sasa huyo jamaa alikuwa hajuwi kuwa hahusiki kwenye huo msafara??
Anaingia wakati hahusiki alitegemea nini?
Sawa kafanya kosa. Je, sababu ya polisi kumwaga chakula ni ipi?
Jamaa aliingilia msafara wa Mwenge huko Bariadi, Simiyu, Kijiji cha Nkololo. Hivi ndugu zetu baadhi ya askari na mgambo, mbona mna roho ngumu hivi? Haya maisha hamuwazi kwamba nafasi zenu zitaisha?
Kama alingilia msafara wa Mwenge, si kuna sheria zinazoweza kufuatwa? Huenda bwana huyu alikuwa amebeba maharage yake akienda kutafuta riziki ya watoto wake, lakini mnafanya hivi.
Kumbukeni hili kabla ya kuumiza maisha ya mtu; fikirieni kwanza watu wanaomtegemea nyuma yake.
Katika hii dunia ya Mungu, hebu tutende wema kuliko ubaya. Tuwekeze zaidi katika matendo ya huruma, utu na upendo kwa wengine.
Hata ukiwa kwenye nafasi ya cheo au mamlaka, kumbuka kuwa madaraka ni ya muda, lakini wema unaowatendea watu hubaki kwenye kumbukumbu zao.
UPDATES
ANAANDIKA TWAHA MWAIPAYA
TAARIFA KAMILI YA KIJANA ALIEPIGWA NA POLISI KWENYE MSAFARA WA MWENGE.
Tukio hili limetokea Kijiji cha Nkololo Kata ya NKOLOLO Wilaya ya BARIADI, Kijana mwendesha bodaboda aliepakia alizeti kwenye pikipiki yake aliingia barabarani kutoka barabara za mitaa inamaana alikuwa HAJUI kinachoendea njia Kuu alivyotokeza ghafla Polisi walimsimamisha kwa Kasi ikawa ngumu kusimama kwa haraka kama unavyojua vyombo vya Moto.
Baada ya kusimama Polisi na mgambo wakaanza kumpiga hapo mchukua video amechukuwa wakati Kijana huyu ameshapigwa, Baada ya kipigo wakamwaga alizeti zake mtaroni kama inavyoonekana kwenye video.
Kisa cha yote haya ni MSAFARA wa MWENGE kama unavyoona mwisho wa video hii inaonekana MSAFARA wa MWENGE unapita.
Baada ya hapo Kijana huyu alikamatwa Mpaka sasa yupo kituo cha Polisi Nkololo.
Kwa SASA nimempata MTU aliechukuwa video ya tukio nikamuomba video za ziada amenitumia.
Baada ya tukio hili kusambaza mtandaoni Polisi wamemfuata mtu aliechukuwa video na kusema watamkomesha kwa SASA Kijana aliechukuwa video yupo katika mashaka makubwa, anahitaji Masada wetu aweze kuondoka kijijini hapo kuokoa maisha yake.
Amenipatia namba yake kwaajili ya Msada wa dharula nimeshindwa kuiweka hapa Namba kwaajili ya usalama wake, kama kuna MTU anahitaji kumpa msaada wa haraka aje inbox.
Pia tunaomba wanasheria wafuatilie ili dereva BODABODA aachiliwe huru
Naomba tupate sauti Vijana hawa wawe salama.
Soma Taarifa ya Polisi kuhusu Tukio hili
Siku wakijichanganya wanifanyie mimi upumbavu wao, pengine siku hiyo ndiyo itakuwa mwisho wa maisha yangu au ya wale watakaojichanganya. I don’t believe in capitulation—I’ll weaponize anything that I have!Haya wewe civilian njoo uwe front na familia yako tukufuate
Hii n akili au matope?Amenipatia namba yake kwaajili ya Msada wa dharula nimeshindwa kuiweka hapa Namba kwaajili ya usalama wake, kama kuna MTU anahitaji kumpa msaada wa haraka aje inbox.
Mawe, menoI’ll weaponize anything that I have!