Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

ila paka kmmke zake, kosa walifanya walinzi wa getini kwanini mtu aingie na uchafu wake adi kwa SASHA, kwani kwa Sasha hakuna camera ya kumonitor akiwa namgeni au walinzi? Tiny mistake can cause major casualties,

Ndo maana vile vipodozi vilipita hadi na nywila za katibu then na nywila za SASHA, ila inasemekana kondakta alishawah msave SASHA apo mwanzoni ilitakiwa apande mdudu chande azunguke nae ktk kampeni ila yule mdudu alikuwa ametegeshewa hitilafu ili asifanikiwe kuwa mayor wa south
 

Attachments

  • 1722233081149.jpg
    173.5 KB · Views: 35

...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…