Alikataliwa kabisa kuingia, baada ya miezi ndio wakajua ni mwenyewe, usidharau mtu

Kumekucha kumekucha..,sheikh kwani wewe unadhani KITENGO kipo kwa maslahi gani kwa ujumla?
Mfano anafaa : Walitakiwa wafanyeje?
Mfano hafai : Walitakiwa wafanyaje?
 
Mkuu umetumia code ngumu sana. Nadhani hii unaelewa wewe mwenyewe tu
Hata Kijana wa 70+ wa Kwanza Mastermind, Bwana February Mauzi hujamtambua???

Wakamtaja na Yule wa Mbeya Maji Mara moja kuwa alihusika kwenye mikataba ya Ulaghai hata hapo hujajua ni Bwana Beans??

Wa Kusikiliza Masikioni Bwana.. aah we kama huelewi basi Bwana. Nenda Jukwaa la MMU tu kachangie uzi wa Kula kimasikhara
 
🫑
 
Niseme tu ukweli Mimi nilienda shule ila sikupata Elimu. Hii Eps ya mwisho imenionyesha jinsi gani mimi ni mjinga na sijui chochote
Na ndo tatizo pana la dunia ya sasa kwa wabongo 90% (utandawazi),watu wanajua tuu insta,fb,tik tok,you tube,sijui manini nini huko,ya msingi na mazito yanayopelekea mustakabali wa nchi 0%,

Kuna mjadala mmoja natamani upate wa ku uanzisha bila madhara

KUHUSU: Pato la Taifa vs Deni la Taifa,

Zinakusanywa ngapi?
Zinadaiwa ngapi?
Zinalipwa ngapi?

MUHIMU : TUNA SERVICE MKOPO KWA RIBA KIASI GANI NA NI % NGAPI KUTOKA KINACHO KUSANYWA?

Eg. Nchi 1 jirani ya EAC ina service mkopo kwa 40% ya pato la Taifa
Wenye akili wapambanue,kuna tofauti na kausha damu? Je katika Taifa hilo watatoka kwenye mikono ya hao wakoloni mambo leo?

ANGALIZO: Nimejaribu kuwaza tuu kwa Sauti,sina nia hovu wala sijatumwa.
 
Niseme tu ukweli Mimi nilienda shule ila sikupata Elimu. Hii Eps ya mwisho imenionyesha jinsi gani mimi ni mjinga na sijui chochote
Wala sio ujinga mkuu, huu uzi unahitaji mtu anayefuatilia sana siasa za nchi hii na si msomi tu wa darasani. Zinahitaji hao wazoefu wa mjini mjini huko. Mimi nimeambulia kapa ukiacha codes chache walizozifungua wadau.
 
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe
Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote.

Tanzania Tanzania
Ninapokwenda safarini
Kutazama maajabu Biashara nayo makazi
Sitaweza kusahau mimi mambo mema ya kwetu kabisa
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote.

Tanzania Tanzania
Watu wako ni wema sana
Nchi nyingi zakuota nuru yako hakuna tena
Na wageni wa kukimbilia ngome yako imara kweli wee
Tanzania Tanzania
Heri yako kwa mataifa.

Tanzania Tanzania
Karibu wasio na kwao
Wenye shida na taabu
Kukimbizwa na walowezi
Tanzania yawakaribisha
Tuungane kiume chema wee
Tanzania Tanzania
Mola awe na we daima.

THE STATE ST PETERS SAIGON GAB ROOM NO26 JWTZ TISS.
πŸ“–πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…