Nadhani kitengo wamekosea sana kama wamemtaarifu Sasha hii ishu!
Kama wapo loyal kwake wasingemwambia bali wangekua wanapambana tu kimya kimya na kumpa maelekezo Nini Cha kufanya akiuliza kwanini anajibiwa "Kwa ajili ya mstakabali ya awamu Yako ya pili 2025-2030,tukikwambia tutaharibu plan nzima"!!
Sasa wamwesha mwambia na wame strike fear of the unknowns Kwa hiyo mamba Moja Hana ujasiri tena wa kuongoza na hapo ndipo anguko lake lilipo"!
sasa bas
Kuanzia Sasa wasimwmbie Tena chochote!!
Watulie TU wapambane na wahuni na wampe maelekezo tu Nini Cha kufanya bila detail ya Nini kinaendelea!!
Hadi hapo team wahuni wameshafanikiwa Kwa asilimia kubwa coz wameleta taharuki ndani ya system!
Ubaya ubwela!Simba day!
We unataka ngapi mkuu... Taja tu au vunja kidogoUna shingapi nikutajie? 😹😹
Be carefulHaya tayari nimeshasoma
Here we go
TWISHII - Tiss
Glopu- ule ukirudi tunasema huooo
Kijana aliyekuwa glopu- mwanzo wa mwaka
Kijana wa 70’ aliyekuwa kwenye visikilizia na kujua mitaa- Bumunda Nepi ya huye
Boss wao wa vijana- kinono mzee wa vitaru vya mbugani
Mzee wa firigisi- born town wa kibaha kwa mbele former rice cooker
Magnet genge- hawa ni wale ndugu zetu wenye kabila linaongoza kwa ushamba Tz baghosha
Yanayoruka ruka jikoni- Maharage kande
Mengine ntarudi kesho kukufafanulia nimekuja mara moja nione ilivyoendelea.!! Tchao
Kwako mwalimu kashasha raraa reree
Achana na ufafanuzi mkuuUna shingapi nikutajie? 😹😹
Mi nimejaribu kupiga ana ana do tyuu.!!Be careful
Be careful
Be careful
Britannica achana nae mpaka amegoma kufafanua jua Kuna msala flan
Melo alivutwa chemba ndio utanikumbuka
Nitumie chemba basi mkuuMi nimejaribu kupiga ana ana do tyuu.!!
Sijui chochote hapo 😹😹
Niko mpwapwa huku nachunga ng’ombe hata daslama siijui mwenzio hiyo nilikuwa najaribu km mtabiri tambitambi 😹😹Achana na ufafanuzi mkuu
Narungombe sio mbali
Kwa Genz,sio..Hata glopu hujaelewa,,hapa inatakiwa uwe na d2 na c1,,,twishi [TISS]
Unapesa ngapi nifungue code zote,,,genz mtoto wa former presdar,
Shauri yakoNiko mpwapwa huku nachunga ng’ombe hata daslama siijui mwenzio hiyo nilikuwa najaribu km mtabiri tambitambi 😹😹
😹😹😹 au sio?Shauri yako
Nenda job atakupa ujumbe wangu hapo 😁😁
Upo mpwapwa sehemu gani?Niko mpwapwa huku nachunga ng’ombe hata daslama siijui mwenzio hiyo nilikuwa najaribu km mtabiri tambitambi 😹😹
Vingunguti karibu na chamwino nyuma ya tandale kabla hujafika kijenge juu.!! 😹😹Upo mpwapwa sehemu gani?
Mpwapwa hakuna hizo ndude ulizotaja 🤣Vingunguti karibu na chamwino nyuma ya tandale kabla hujafika kijenge juu.!! 😹😹
Unavyojieleza mi huku mbavu zinavunjika. Utafkiri umebanwa ndo unatoa maelezo😃😃Vingunguti karibu na chamwino nyuma ya tandale kabla hujafika kijenge juu.!! 😹😹
Baki na ubishi wako 😹😹Mpwapwa hakuna hizo ndude ulizotaja 🤣
😹😹😹 nampa maelekezo ya kunipataUnavyojieleza mi huku mbavu zinavunjika. Utafkiri umebanwa ndo unatoa maelezo😃😃
Tukutane Tandale 😁Baki na ubishi wako 😹😹