Alikiba Afunguka kuhusu tuzo za Afrimma, asema pesa nyingi zilitumika kupambana nae..!

Kumbe roho imemuuma ehh! bas akazane maneno hayamsaidii kitu sn sn ukilalamika sn unaonekana m'mke. Mwanaume kazi na siyo kulalalama ovyo tu, na kutafuta pa kujishikia
Wasanii wetu kwa kulalama hawajambo!
 
Nae Alikiba hatambui ushindi wa Diamond!

Chezea mashabiki wa King of Afropop, hahahaha amepewa mchambo heavy mpaka kaamua kufuta post hahahaha kukurupuka kubaya sana huwa anasema hata wakimsema yeye hajali ila leo ameonyesha udhaifu yamemuingia vilivyo mambo gani ya kung'ang'ania mbeleko ya bifu?? tena bifu na mtu aliyekuzidi miles za kutosha..!
 
Hahahahah acha nicheke mana sijaamini macho yangu jamani nahamia kwa Ali kiba sasa ivi diamond atamuua mwenzie kwa presha kila siku hat trick tu khaaaaa acha nikamsapoti kidogo kiba nae apate ahueni NAOMBA KUULIZA KWANI CHIBU ANASTAAFU LINI MZIKI AMWACHIE KIBA AFUKUZANE NA KUVUNJA RECORD ZAKE
 
Afu analalama mbona ye kapewa njumu huko kenya si hatuongei?

Au alitaka akapeleke gold zile kariakoo hahaha inabidi tuzo za pombe nao waache kutengenezea tuzo zao sklepa, watumie gold ivutie hata kwa nnje tu iwaliwaze wasanii wetu
 
Reactions: me1
Kiba ana shida kubwa sana na leo ndio nimeamini kuwa hufurahishwa sana na sintofahamu baini yake na Diamond!
 
Ni bora ungekaa kimya ungeonekana una busara. Sema umeshindwa pambano na siyo vita.

Subiri KTMA na tuzo za watu. Huku watakupa kwa sababu wapambe wanadai Diamond wakimpa show ya Mil 8 hataki. Watamkomesha.

Hahahahaha KTMA mwakani atashinda tuzo kumi hahaha atakuwa anahasira sana..!
 
Afu kibaya zaidi, hajamdhihaki diamond tu ila na waandaaji wa Afrima pamoja na wadau wanaosupport Afrima (wasanii wanaoheshimu hizi tuzo kuhudhuria n.k)

Wacha movie iendelee, ila nimependa sana jokate alivyoplay part yake ya kukijibu hiki kijamaa
 
Alafu sitaki kuamini kama Kiba ni hopeless kiasi . Ana video gani au ngoma gani?
Useless.
Kiba sasa ameanza kuchanganyikiwa si bure..
 
Kwa hiyo ameifuta? Hakika amejidhalilisha sana na ameonesha kuwa ana amekurupuka na hili ni tatizo kubwa linalo wakabili wasanii wetu nchini sio yeye tuu...kukimbilia kuandika kwenye mitandao bila kufikiri au kuomba ushauri..!
Huu utoto utamgharimu sana Alikiba na itamlazimu kujibu maswali ambayo huwa ana yakwepa na kama hatojibu atakuwa mnafiki wa karne....
 
hiyo nasema nawe ni nyimbo bora ya mwaka kwa AFRICA nzima au ni kwa EAST AFRICA/Tanzania pekee??

Wametumia vigezo gani kuipa Tuzo ya "nyimbo bora ya mwaka kwa bara nzima la AFRICA?"

Hizo Tuzo Coverage yake ipoji hapa AFRICA?

Mkuu Nasema Nawe ni wimbo bora wa mwaka Africa, huu ni upuuzi kabisa
 
Teh Teh.... Alikiba anatakiwa kusema kinacho msumbua....
 
Afu kibaya zaidi, hajamdhihaki diamond tu ila na waandaaji wa Afrima pamoja na wadau wanaosupport Afrima (wasanii wanaoheshimu hizi tuzo kuhudhuria n.k)

Wacha movie iendelee, ila nimependa sana jokate alivyoplay part yake ya kukijibu hiki kijamaa
Aiseee Jokate ina maana kaingilia kati jambo hili?
 
Only in Africa, fedha ni jawabu la mambo yote. Leo hii Nasema nawe ni wimbo bora wa mwaka Africa hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…