Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Yeye angekaa kimya kwani Amelia acha uboya pumbavuAlichofanya diamond kulia lia kwamba yeye ni tajiri ni kituko mtu yoyote lazima amdhihaki kwa kile kitendo diamond ndo ana vingi vya kujifunza kupitia wenzie
Njoo dm babyYaan chawa wa WCB wana haha hatari lol, tuishie kuwatazama tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamsifia ujinga"SADALA" ila King kiba jaman khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha ujinga kwani RAYVANNY ujui anatuwakilisha kwa kuimba mziki mzuriEti Rayvan anavyo behave..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa Ni comedian
Endelea kukaza fuvu [emoji23][emoji119][emoji125]Jiffunze kutiririka vzr na uzi.
Ulipaswa utaje kwanza kile alichosema Kiba ndiyo uendelee na hoja yako.
Sasa unashusha uzi kanakwamba wote tunajuwa alichosema huyo kiba kwa mondi.
Anza uzi wako vzr ili tukuelewe mkuu.
Unapenda kuandika lakini aina yako ya uandishi huwa changamoto.
Nimeona nyuzi zako nyingi watu wakikukosoa kwa jinsi unavyoandika cku wa wanakuchukia hapana,,maana hata hawakujuwi.
Tumia ukosoaji huo kama fursa ya kujifunza pia.
Half unachangamoto ya kuchanganya herufi sana.
KALALE ZABIBU KIBAKwani kamwambia DOMO au SADALA? kwamba DOMO ndo SADALA au? Teh teh teh TEAM SADALA MNA KAZI SANA..any way SADALA MWENYEWE ANASEMAJE?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huko ulikolisikia ndiko unaweza kupata maana.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahahah kwa Sadala ni eneo flani lenye landscape yenye gentle slope mkoa flani! Hapo gari inaenda bila hata mafuta maana ni asili ya mteremko
Real meaningKwa Sadala.....
Aisee! Pale kuna vibaka wanachomoa balaa. Hata hela iliyopo kwenye bukta wanachukua.
Sasa sijui ndo watoto wa Sadala ama la!.
Jiheshimu wee huko DM kufanya nini? [emoji23][emoji23][emoji23]Njoo dm baby
Amewapiga mule mule lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unamsifia ujinga
Bakhresa anauza mpaka ice cream za 500, bidhaa yeyote inaweza kukupa utajiriUnauza Karanga halafu unataka Forbes wakutambue kuwa wewe ni tajiri[emoji2]
Bakhresa anauza ice creamNa perfume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ohooo,kumbe mwamba bado yupo mjini???
Amepotea mpaka tule tu comment twa"hapendi show off" situoni hapa jf
Ashukuru tu hii kiki ,kajua kucheza na fursa. Sio muda atawekwa kundi moja na kina mwijaku.
Wewe ndio hujamuelewa!!sio suala la kumdiss mtu, bali hoja ni kwamba diamond anapowalaumu jarida la forbes kuwa ktk orodha yao hayupo inakuwaje?!!kwani wale sio kuwa wana kurupuka tu kuna njia zao za kitaalam wanazotumia kufikia kukuweka kwenye orodha yao!!mfano, wewe unaficha takwimu za covid 19!!WHO, wakitoa ripoti yao juu ya nchi ambazo hazina COVID 29, na wewe unakuja kupiga kelele mbona mimi simo?!!Unadiss vipi mtu usomuweza kwa chochote,waswahili bwana tuna maajabu mno.
Wasted energyHabari Wana Jf
Kweli nimeamini mziki unekuwa mgumu Sana yaani kwa kitendo hivhi cha kitoto ambacho Amekifanya Alikiba imejidhihirisha wazi kua Diamond platinumz ndio a true definition of mature musician.
Na hii inadhihirisha kwa Sasa hakuna msanii ambae bila kupitia Kiki ya Diamond platinumz anatoboa [emoji23][emoji23][emoji23],Kama Alikiba kaingia kwenye mipasho Kama ya Khadija kopa Sasa amesubiria Nini kusataafu.[emoji24][emoji24][emoji24]
Harmonize na Alikiba wanasafari ndefu ya kujifunza kutoka kwa DIAMOND PLATINUMZ na RAYVANNY jinsi wanavyo behave kwenye jamii.
Alikiba ameona upepo umekata wote ameamua apitie mlango wa diamond platinumz kuongelewa na ili atoe Album Yake ya utopolo.[emoji383][emoji383][emoji383]
WARNER MUSIC GROUP nasikia inampa kiwewe sana na amechanganyikiwa sana.
N.B: DIAMOND PLATINUMZ NAOMBA ASIMJIBU NA KUMPA BOOST YA ALBUM YAKE YA UTOPOLO.
Diamond platinumz anahela[emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]
Barkheresa anauza maandazi,nazi nk,lkn hata muungane ukoo wenu mzima hamumkamati kwa ukwasi,hivyo tuliza kali.oUnauza Karanga halafu unataka Forbes wakutambue kuwa wewe ni tajiri[emoji2]
Kwahiyo? [emoji23][emoji23][emoji23]Bakhresa anauza ice cream
Na wee kauze kwan umekatazwa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heri yako unaeuza mbususu na tigo