AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

AliKiba amdiss Diamond Platnumz kuhusu utajiri na Forbes: Wadau wasema Sadala ni kiki ya album yake mpya

Jiffunze kutiririka vzr na uzi.

Ulipaswa utaje kwanza kile alichosema Kiba ndiyo uendelee na hoja yako.

Sasa unashusha uzi kanakwamba wote tunajuwa alichosema huyo kiba kwa mondi.

Anza uzi wako vzr ili tukuelewe mkuu.

Unapenda kuandika lakini aina yako ya uandishi huwa changamoto.

Nimeona nyuzi zako nyingi watu wakikukosoa kwa jinsi unavyoandika cku wa wanakuchukia hapana,,maana hata hawakujuwi.

Tumia ukosoaji huo kama fursa ya kujifunza pia.

Half unachangamoto ya kuchanganya herufi sana.
Endelea kukaza fuvu [emoji23][emoji119][emoji125]
 
Hahahah kwa Sadala ni eneo flani lenye landscape yenye gentle slope mkoa flani! Hapo gari inaenda bila hata mafuta maana ni asili ya mteremko
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ohooo,kumbe mwamba bado yupo mjini???
Amepotea mpaka tule tu comment twa"hapendi show off" situoni hapa jf
Ashukuru tu hii kiki ,kajua kucheza na fursa. Sio muda atawekwa kundi moja na kina mwijaku.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Unadiss vipi mtu usomuweza kwa chochote,waswahili bwana tuna maajabu mno.
Wewe ndio hujamuelewa!!sio suala la kumdiss mtu, bali hoja ni kwamba diamond anapowalaumu jarida la forbes kuwa ktk orodha yao hayupo inakuwaje?!!kwani wale sio kuwa wana kurupuka tu kuna njia zao za kitaalam wanazotumia kufikia kukuweka kwenye orodha yao!!mfano, wewe unaficha takwimu za covid 19!!WHO, wakitoa ripoti yao juu ya nchi ambazo hazina COVID 29, na wewe unakuja kupiga kelele mbona mimi simo?!!
 
Habari Wana Jf

Kweli nimeamini mziki unekuwa mgumu Sana yaani kwa kitendo hivhi cha kitoto ambacho Amekifanya Alikiba imejidhihirisha wazi kua Diamond platinumz ndio a true definition of mature musician.

Na hii inadhihirisha kwa Sasa hakuna msanii ambae bila kupitia Kiki ya Diamond platinumz anatoboa [emoji23][emoji23][emoji23],Kama Alikiba kaingia kwenye mipasho Kama ya Khadija kopa Sasa amesubiria Nini kusataafu.[emoji24][emoji24][emoji24]

Harmonize na Alikiba wanasafari ndefu ya kujifunza kutoka kwa DIAMOND PLATINUMZ na RAYVANNY jinsi wanavyo behave kwenye jamii.

Alikiba ameona upepo umekata wote ameamua apitie mlango wa diamond platinumz kuongelewa na ili atoe Album Yake ya utopolo.[emoji383][emoji383][emoji383]

WARNER MUSIC GROUP nasikia inampa kiwewe sana na amechanganyikiwa sana.

N.B: DIAMOND PLATINUMZ NAOMBA ASIMJIBU NA KUMPA BOOST YA ALBUM YAKE YA UTOPOLO.

Diamond platinumz anahela[emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]
Wasted energy
 
Back
Top Bottom