Alikiba kawakataza Kings Music kufanya interviews Wasafi Media?

akilikiba yupo kwenye record za guinness za kwamba yeye ndio mtu mpumbavu na mjinga kuwahi kutokea duniani
 
Kwanza kabisa asilimia za umiliki wa Diamond kwenye taasisi husika ni chache..la kwanza hilo
Pili kutopigwa wasafi nyimbo za Kings hakutakuja kushusha nyimbo zao au kuharibu soko..la pili hilo

Tatu kwa nature ya mtu mpenda sifa na mropokaji kama bwana Naseeb Abdul almaarufu kama Diamond ni bora hao madogo wasiende coz n mtu ambaye huwa anapenda kuonekana mshindi muda wote na ndicho haswa hata mashabiki zake huwa wanapenda iwe hivyo mara zote..la tatu hilo

Nne WASAFI MEDIA ni media ya kibiashara acha waongeze wasikizaji na watazamaji kwa kupiga ngoma zote nzuri zikiwemo hizo za Kings Music..la nne hilo

Tano na Mwisho..namsifu sana ALI KIBA kwa namna alivyoamua kumpuuza Diamond Plutnumz na ndo vita amabayo inamtesa sana Diamond na Timu yake na MASHABIKI zake wote coz katika vita hii hajawahi kuwa mshindi na ndo maana mara atamuimba kwenye nyimbo mara atatoa mafumbo afu jamaa ana mpuuza

NYONGEZA..always mashabiki wa WCB huwa wanamuona adui kila anayeenda tofauti na bwana nasibu hawataki kuamini kwamba huenda huyu bwana ni binadamu nae huwa anakosea nwakumbushe tu HUYU BWANA KASHAKOSANA HADI NA BABAKE MZAZI hivi karibun ndo atlist kajirud na tumshukuru Mungu kwa hilo..bt pia WAZAZI WENZAKE WAWILI WOTE HAPATANI NAO itakuwa ALI KIBA NA CLOUDS ambao hawajachangia damu?..
 
jamaa itabidi ajitafakari upya haya maamuzi yake yasiwaumize wengine wasiohusika na ugomvi wake.
Mwaka wa ngap mnasema hivyo na bado king anaendelea mbna hamjawah mshaur diamond akatafute suluhu na CLOUDS ili nyimbo za kina LAVALAVA wasiohusika zipigwe???..acheni zenu mnapuyanga mnamtafutia mtu USHINDI??
 
MNGEMSHAURI NA DIAMOND AMALIZE UGOMVI NA CLOUDS ILI AKINA LAVALAVA WASIOHUSIKA NA BIFU LAO NGOMA ZAO ZICHEZWE PALE MAWINGUNI...kabla hujatoa KIBANZI kwenye jicho la mwenzio toa BORITI kwenye jicho lako
 
Amemkuta au amemleta yeye?
alishaanzaga kujifia taratibu aliamka baada ya kukuta domo anamuacha, yeye mwenyewe anakubaligi kwamba zamani alizubaa sana.
na mahasimu wa domo ndio wanaombeba kiba kwa kiasi kikubwa ili kumkomoa domo.
 
Mpaka anaimba na R.kelly One 8 Mond alimpaisha sio... Kiba anajielewa msimpangie yakufanya wakati Mond amemkuta .

Mwana ikuburudishe au Mc muga.
 
alishaanzaga kujifia taratibu aliamka baada ya kukuta domo anamuacha, yeye mwenyewe anakubaligi kwamba zamani alizubaa sana.
na mahasimu wa domo ndio wanaombeba kiba kwa kiasi kikubwa ili kumkomoa domo.
Shida yenu Mond awe peke yake... mbona anaimba ujinga tu.
Af kumbuka Ali sio wa leo, wengi wamepotea yeye yupo.. kwa nn wanaombeba wasimbebe hata Z.ANTO?
 
Huyu jamaa namkubali lakini huwa ana mambo ya kiboya sana.
Kila akiwa kwenye baadhi ya redio ana kazi ya kulalamikia eti wengine wananunua viewers. Wakati ye mwenyewe hajui kupromote kazi zake.
Ali ni talent mkuu... kupromote vyupi vya wazazi wao usiseme ndio mziki mzuri.
 
Haiitaji IQ kubwa kujua kuwa wenye chuki na domo ndio wamegeuka mashabiki wakubwa wa Kiba ili kujaribu kumkomoa huyu bwana mdogo.
Ila bwana mdogo ana akili sana . Alipopata na wazo la kufungua vituo vya matangozo (redio & tv)
Na wanaomchukia Ali wametoka wapi mkuu?
Dunia hii nani hana maadui?
 
Kila mtu ana njia zake za kupata pesa... usipende kila mtu aishi kama wewe,
huwezi kujua undani wa tatizo lao, utabaki kutukana wakati ugali anakula kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…