Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,203
- 7,628
sawa mkuuPunguza kuvuta bangi mkuu. ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mkuuPunguza kuvuta bangi mkuu. ...
Alikiba ni mpumbavu aliyetukuka
Kwanza kabisa asilimia za umiliki wa Diamond kwenye taasisi husika ni chache..la kwanza hiloHabari zenu wananzengo,
Guys hili bifu la mondi na kiba bado lipo pale pale, wale wanaosema hawa jamaa hawana mabifu basi wanajidanganya tu.. Jiulize ushawahi kuwaona vijana wa Kings music wakitambulisha ngoma zao mpya wasafi media? ila cha ajabu wasafi tv na radio wanapiga ngoma za hao kings kila siku hadi ngoma zao mpya zinachezwa bila hata official interviews/release kwa wasafi. Sawa una bifu na mondi hata uzao wako usijihusishe na chochote kinachohusiana na mondi hata kama kina faida kwao kibiashara? Kumbe bifu binafsi na biashara huwa vinakwenda pamoja? Alikiba badilika biashara haiendi hivyo hata kidogo waache vijana wako wawe huru kwenda popote as long as hawavunji/hawavunjiwi heshima kwako na kwa wengine. Big up kwa Wasafi Media, ile ni media ambayo ipo huru Tanzania haijalishi uwe na bifu na mmiliki wake au la wewe ngoma zako zitapewa airtime everyday labda wewe mwenyewe uwaambie waache kupiga. Compared to clouds, East Africa radio, efm, wote tunajua hizo media ukikorofishana na presenter au hata mfagia ofisi kwa mambo yenu binafsi basi Department zote haijalishi tv au radio watasitisha kucheza ngoma zako mara moja! VERY UNPROFESSIONAL. Entertainment media za kibongo zijifunze kwa wakenya wanafanyaje hizi kazi, wenzetu hawaendeshi media zao kwa mihemko.
![]()
Mwaka wa ngap mnasema hivyo na bado king anaendelea mbna hamjawah mshaur diamond akatafute suluhu na CLOUDS ili nyimbo za kina LAVALAVA wasiohusika zipigwe???..acheni zenu mnapuyanga mnamtafutia mtu USHINDI??jamaa itabidi ajitafakari upya haya maamuzi yake yasiwaumize wengine wasiohusika na ugomvi wake.
MNGEMSHAURI NA DIAMOND AMALIZE UGOMVI NA CLOUDS ILI AKINA LAVALAVA WASIOHUSIKA NA BIFU LAO NGOMA ZAO ZICHEZWE PALE MAWINGUNI...kabla hujatoa KIBANZI kwenye jicho la mwenzio toa BORITI kwenye jicho lakoHabari zenu wananzengo,
Guys hili bifu la mondi na kiba bado lipo pale pale, wale wanaosema hawa jamaa hawana mabifu basi wanajidanganya tu.. Jiulize ushawahi kuwaona vijana wa Kings music wakitambulisha ngoma zao mpya wasafi media? ila cha ajabu wasafi tv na radio wanapiga ngoma za hao kings kila siku hadi ngoma zao mpya zinachezwa bila hata official interviews/release kwa wasafi. Sawa una bifu na mondi hata uzao wako usijihusishe na chochote kinachohusiana na mondi hata kama kina faida kwao kibiashara? Kumbe bifu binafsi na biashara huwa vinakwenda pamoja? Alikiba badilika biashara haiendi hivyo hata kidogo waache vijana wako wawe huru kwenda popote as long as hawavunji/hawavunjiwi heshima kwako na kwa wengine. Big up kwa Wasafi Media, ile ni media ambayo ipo huru Tanzania haijalishi uwe na bifu na mmiliki wake au la wewe ngoma zako zitapewa airtime everyday labda wewe mwenyewe uwaambie waache kupiga. Compared to clouds, East Africa radio, efm, wote tunajua hizo media ukikorofishana na presenter au hata mfagia ofisi kwa mambo yenu binafsi basi Department zote haijalishi tv au radio watasitisha kucheza ngoma zako mara moja! VERY UNPROFESSIONAL. Entertainment media za kibongo zijifunze kwa wakenya wanafanyaje hizi kazi, wenzetu hawaendeshi media zao kwa mihemko.
![]()
Hutu kidume anawaweza sana...naoenda anavyowapuuza had roho inawaumaAlikiba ni mpumbavu aliyetukuka
Huwez ua kiba kwa ajili ya huyo kunguru alikuwepo kabla yake na he still there..the pure talent siyo msanii KIKI.Apatanishwe ili afe kimziki.
Mbna diamond ana bifu na CLOUDS hamsemii msitupigie keleleYeye kama kaamua kufanya mziki kama hobby aache wanaofanya kama biashara waendelee, sio kuweka weka majungu na hizi radio zinazomsupport.
Kiba si anawawezea hao...ukitaka kumshinda mpumbav mpuuze tu na ndo anachofanya king kwa hao jamaa hapo wanaumia hatarAlikiba alikuibia demu wako nini?unamponda sana
Amemkuta au amemleta yeye?Apatanishwe ili afe kimziki.
alishaanzaga kujifia taratibu aliamka baada ya kukuta domo anamuacha, yeye mwenyewe anakubaligi kwamba zamani alizubaa sana.Amemkuta au amemleta yeye?
Mpaka anaimba na R.kelly One 8 Mond alimpaisha sio... Kiba anajielewa msimpangie yakufanya wakati Mond amemkuta .Binafsi mimi sio mshabiki sana wa nyimbo za hawa wawili ila kwa nilichojifunza kuhusu hii inayosemekana bifu,ni kwamba ilisaidia sana kumuinua Ali kiba hata kama tayari alishakuwa mkubwa,kingine inaonekana Ali ananufaika zaidi na hapendi hii kitu iishe
Kama anakula kwako poa... tofauti na hapo we shoga labda ulipigwa mkopoakilikiba yupo kwenye record za guinness za kwamba yeye ndio mtu mpumbavu na mjinga kuwahi kutokea duniani
Shida yenu Mond awe peke yake... mbona anaimba ujinga tu.alishaanzaga kujifia taratibu aliamka baada ya kukuta domo anamuacha, yeye mwenyewe anakubaligi kwamba zamani alizubaa sana.
na mahasimu wa domo ndio wanaombeba kiba kwa kiasi kikubwa ili kumkomoa domo.
Ali ni talent mkuu... kupromote vyupi vya wazazi wao usiseme ndio mziki mzuri.Huyu jamaa namkubali lakini huwa ana mambo ya kiboya sana.
Kila akiwa kwenye baadhi ya redio ana kazi ya kulalamikia eti wengine wananunua viewers. Wakati ye mwenyewe hajui kupromote kazi zake.
ushaonyesha uko upande upi, siko kubishana.Ali ni talent mkuu... kupromote vyupi vya wazazi wao usiseme ndio mziki mzuri.
Na wanaomchukia Ali wametoka wapi mkuu?Haiitaji IQ kubwa kujua kuwa wenye chuki na domo ndio wamegeuka mashabiki wakubwa wa Kiba ili kujaribu kumkomoa huyu bwana mdogo.
Ila bwana mdogo ana akili sana . Alipopata na wazo la kufungua vituo vya matangozo (redio & tv)
Kila mtu ana njia zake za kupata pesa... usipende kila mtu aishi kama wewe,kweli kabisa mkuu. Kwa Tanzania nathubutu kusema kwamba Wasafi media & record label pekee ndo wametuprove wrong kuwa bifu ni bifu na biashara ni biashara so havifuatani pamoja. Kwa jinsi navyomuona Diamond yupo tayari kuruhusu Kings music wapige shoo wasafi festival na kulipwa vizuri tu kama wasanii wengine ila Alikiba hiko kitu hataki sasa hiyo ni akili au matope? yule jamaa akili hana, akae chini na professionals wamfunze biashara inakwendaje.
sibishani nakupa taarifa tuushaonyesha uko upande upi, siko kubishana.