TUZO ZOTE MAJAJI NDIO FINAL SAY KUMBE TUNAJISUMBUAMbona unaita siri mkuu?Kisa wew ndo umejua leo?
Kwa kusaidia tu, kila waandaji wana taratibu zao kutegemea na dhumuni la shindano husiku.Na kuhusu uzito wa kura na majaji, sio lazma iwe 60% to 40%. Inaeza kuwa anyway na kuna vigezo lukuki pia vinaangaliwa depending na umuhimu wa kipengele husika.
NILICHOGUNDUA MAJAJI NDO HUTOA MAAMUZI UNAKUTA TAKWIMU INAONYESHA FULA ANAONGOZA ILA FAINALI ANAKUJA KUSHINDA WA MWISHO KWENYE TAKWIMU YA KUPGIWA KURAKuna majaji,wadhamini na hata kura za mashabiki. Mwenye nguvu hapo ni Mtoa pesa yaani Mdhamini.
MKUU HATA DIAMOND ALIONGOZA LAKINI AKAPEWA WIZIKIDKuna MTU anaweza pigiwa KURA nyingi,lakini akawa hana HADHI ya kuchukua TUZO..!
Yule UNAYEMPENDA yupo kwenye hili KUNDI,ndio maana amekosa TUZO..!
Diamond pia hakustahili kuchukua TUZO mbele ya WIZKID...MKUU HATA DIAMOND ALIONGOZA LAKINI AKAPEWA WIZIKID
watasema wewe ni haterDiamond pia hakustahili kuchukua TUZO mbele ya WIZKID...
Hilo liko wazi..!
Asanteh kwa Breaking news....Katika kuvuta kwangu tathimini na kujiuliza mshindi wa tuzo za music iwe BSS,MTVEMMA,BET,AFRIMA,AEA nk huwa wanapataje tuzo ikiwa msanii anaweza akaonekana kwenye takwimu anaongoza kwakupigiwa kura lakini inapofika fainali anakuja kushinda mtu mwingine.Tumeona wasanii wetu kama Diamond,Navy kenzo,Alikiba,Vanessa mdee wameongoza kwenye takwimu kwakupigiwa kura lakini mwisho wa siku katika fainali wamepewa tuzo wasanii wengine.Sasa leo nimepata data kamili kumbe katika 100% ya upigaji kura, Wapiga kura wanapewa 40% na Majaji wanabaki na 60% it means Majaji ndo waamuzi nani wa kumpa tuzo
MWISHO:SITAMPIGIA KURA TENA MSANII KAMA MATOKEO YANAPANGWA NA MAJAJI
sababu nini hakustahili? ikiwa ameongoza kwa kuraDiamond pia hakustahili kuchukua TUZO mbele ya WIZKID...
Hilo liko wazi..!
pamoja sana mkuuAsanteh kwa Breaking news....
pamoja sana mkuuAsanteh kwa Breaking news....
yeye na eddy kenzo waliongoza toka kura zinaanza lakini fainal anapewa mwingineDiamond alipaswa kuchukua tuzo
Mziki mzuri kwa nani? Kwako au kwa MTVEMAHuyu ni mwanamuziki mazuri sema figisufigisu tuanafanyiwa,sema wadanamu ni wagumu sana kuelewa mambo
Umechelewa sana kujua pole.Katika kuvuta kwangu tathimini na kujiuliza mshindi wa tuzo za music iwe BSS,MTVEMMA,BET,AFRIMA,AEA nk huwa wanapataje tuzo ikiwa msanii anaweza akaonekana kwenye takwimu anaongoza kwakupigiwa kura lakini inapofika fainali anakuja kushinda mtu mwingine.Tumeona wasanii wetu kama Diamond,Navy kenzo,Alikiba,Vanessa mdee wameongoza kwenye takwimu kwakupigiwa kura lakini mwisho wa siku katika fainali wamepewa tuzo wasanii wengine.Sasa leo nimepata data kamili kumbe katika 100% ya upigaji kura, Wapiga kura wanapewa 40% na Majaji wanabaki na 60% it means Majaji ndo waamuzi nani wa kumpa tuzo
MWISHO:SITAMPIGIA KURA TENA MSANII KAMA MATOKEO YANAPANGWA NA MAJAJI