Alikiba: Tunafuatilia kujua vigezo gani vilitumika kupata mshindi wa Mtv EMA

Katika kuvuta kwangu tathimini na kujiuliza mshindi wa tuzo za music iwe BSS,MTVEMMA,BET,AFRIMA,AEA nk huwa wanapataje tuzo ikiwa msanii anaweza akaonekana kwenye takwimu anaongoza kwakupigiwa kura lakini inapofika fainali anakuja kushinda mtu mwingine.Tumeona wasanii wetu kama Diamond,Navy kenzo,Alikiba,Vanessa mdee wameongoza kwenye takwimu kwakupigiwa kura lakini mwisho wa siku katika fainali wamepewa tuzo wasanii wengine.Sasa leo nimepata data kamili kumbe katika 100% ya upigaji kura, Wapiga kura wanapewa 40% na Majaji wanabaki na 60% it means Majaji ndo waamuzi nani wa kumpa tuzo

MWISHO:SITAMPIGIA KURA TENA MSANII KAMA MATOKEO YANAPANGWA NA MAJAJI
 
Mbona unaita siri mkuu?Kisa wew ndo umejua leo?

Kwa kusaidia tu, kila waandaji wana taratibu zao kutegemea na dhumuni la shindano husiku.Na kuhusu uzito wa kura na majaji, sio lazma iwe 60% to 40%. Inaeza kuwa anyway na kuna vigezo lukuki pia vinaangaliwa depending na umuhimu wa kipengele husika.
 
TUZO ZOTE MAJAJI NDIO FINAL SAY KUMBE TUNAJISUMBUA
 
Kuna majaji,wadhamini na hata kura za mashabiki. Mwenye nguvu hapo ni Mtoa pesa yaani Mdhamini.
 
NILICHOGUNDUA MAJAJI NDO HUTOA MAAMUZI UNAKUTA TAKWIMU INAONYESHA FULA ANAONGOZA ILA FAINALI ANAKUJA KUSHINDA WA MWISHO KWENYE TAKWIMU YA KUPGIWA KURA
 
Kuna MTU anaweza pigiwa KURA nyingi,lakini akawa hana HADHI ya kuchukua TUZO..!
Yule UNAYEMPENDA yupo kwenye hili KUNDI,ndio maana amekosa TUZO..!
MKUU HATA DIAMOND ALIONGOZA LAKINI AKAPEWA WIZIKID
 
Daahh... team kibaa.. Ni nini shida. em kueni basi.
 
Katika kuvuta kwangu tathimini na kujiuliza mshindi wa tuzo za music iwe BSS,MTVEMMA,BET,AFRIMA,AEA nk huwa wanapataje tuzo ikiwa msanii anaweza akaonekana kwenye takwimu anaongoza kwakupigiwa kura lakini inapofika fainali anakuja kushinda mtu mwingine.Tumeona wasanii wetu kama Diamond,Navy kenzo,Alikiba,Vanessa mdee wameongoza kwenye takwimu kwakupigiwa kura lakini mwisho wa siku katika fainali wamepewa tuzo wasanii wengine.Sasa leo nimepata data kamili kumbe katika 100% ya upigaji kura, Wapiga kura wanapewa 40% na Majaji wanabaki na 60% it means Majaji ndo waamuzi nani wa kumpa tuzo

MWISHO:SITAMPIGIA KURA TENA MSANII KAMA MATOKEO YANAPANGWA NA MAJAJI
Asanteh kwa Breaking news....
 
Huyu ni mwanamuziki mazuri sema figisufigisu tuanafanyiwa,sema wadanamu ni wagumu sana kuelewa mambo
Mziki mzuri kwa nani? Kwako au kwa MTVEMA
Jamani kwanini msikubali Kuwa hata Kiba awe na mziki mzuri kivipi hawezi kuufikia wa wizikid, Sio sasa labda baadae.
 
Katika kuvuta kwangu tathimini na kujiuliza mshindi wa tuzo za music iwe BSS,MTVEMMA,BET,AFRIMA,AEA nk huwa wanapataje tuzo ikiwa msanii anaweza akaonekana kwenye takwimu anaongoza kwakupigiwa kura lakini inapofika fainali anakuja kushinda mtu mwingine.Tumeona wasanii wetu kama Diamond,Navy kenzo,Alikiba,Vanessa mdee wameongoza kwenye takwimu kwakupigiwa kura lakini mwisho wa siku katika fainali wamepewa tuzo wasanii wengine.Sasa leo nimepata data kamili kumbe katika 100% ya upigaji kura, Wapiga kura wanapewa 40% na Majaji wanabaki na 60% it means Majaji ndo waamuzi nani wa kumpa tuzo

MWISHO:SITAMPIGIA KURA TENA MSANII KAMA MATOKEO YANAPANGWA NA MAJAJI
Umechelewa sana kujua pole.
 
Back
Top Bottom