Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,564
Katika kuvuta kwangu tathimini na kujiuliza mshindi wa tuzo za music iwe BSS,MTVEMMA,BET,AFRIMA,AEA nk huwa wanapataje tuzo ikiwa msanii anaweza akaonekana kwenye takwimu anaongoza kwakupigiwa kura lakini inapofika fainali anakuja kushinda mtu mwingine.Tumeona wasanii wetu kama Diamond,Navy kenzo,Alikiba,Vanessa mdee wameongoza kwenye takwimu kwakupigiwa kura lakini mwisho wa siku katika fainali wamepewa tuzo wasanii wengine.Sasa leo nimepata data kamili kumbe katika 100% ya upigaji kura, Wapiga kura wanapewa 40% na Majaji wanabaki na 60% it means Majaji ndo waamuzi nani wa kumpa tuzo
MWISHO:SITAMPIGIA KURA TENA MSANII KAMA MATOKEO YANAPANGWA NA MAJAJI
MWISHO:SITAMPIGIA KURA TENA MSANII KAMA MATOKEO YANAPANGWA NA MAJAJI