Alikiba unapaswa kuomba RADHI Wakristo

Nyie ndo mmekuza mambo lakini ukristo haujaanza kusakamwa leo. Sio ukristo tu hata uislam pia hivyo hivyo.

Hiyo kauli ya kiba wala haibadili chochote kwanza mashabiki wake wengi sio wafia dini. Ndo wale kina sisi mguu nje mguu ndani. Si ajabu hiyo kauli wameiskia wachache na kati ya hao wengine (kina sisi) tumeipuuza.
 
Kwa hiyo kama ukristo haujaanza kusakamwa leo ndio tuendelee kukubali kejeli... Mbona ushoga haujaanza leo lakini unapigwa vita... Jambo kutokea kipindi cha nyuma haimaanishi ndio kimeidhinishwa, tukiendelea kuruhusu hizi tabia itafika mahali Dini zetu hazitaheshimika... Kama wao wanavyoweka mipaka kwenye Dini zao, na sisi tunaweka mipaka kwenye Dini zetu
 
Kwaiyo huwa hamna kawaida iyo!
Hakuna sehemu ambayo ukristo umeandika tupige picha misibani... Sasa ukiniuliza swali hilo nami nitakuuliza vipi zile picha za Google na video za YouTube zinazoonesha mazishi ya waislamu kwani zimepigwa na wakristo? Mbona video za misiba ya waislamu zimetapakaa mitandaoni lakini hausemi kuwa ni kawaida yenu
 
Ukristo hauko hivyo ndgu, Mungu anajipigania mwenyewe. Haombi msaada wako kumpigania.

Inasemwa kila leo kua mapdri ni mashoga kwani upandre umekufa, wanasema kila leo manabii hao ni waongo nk kwani wamesitisha huduma zao?? Muache Mungu ajipiganie kwa njia zake yeye, wewe huwezi mkuu. Timiza tu wajibu wako.
 
Mimi siko hapa kuupigania ukristo... Mimi niko hapa kukemea kitendo kilichofanywa na msanii Alikiba, nakemea dhambi na makosa ya kuona Wakristo kuwa ni watu wa hovyo misibani.

Kuna kupigania ukristo na kukemea dhambi... Juwa kutofautisha hapo.

Moja ya haki za binadamu ni kila mtu kuwa na uhuru wa kuabudu na kuheshimu Dini za watu wengine. Alikiba haheshimu Wakristo, hapo sio swala la kidini bali ni swala la sheria za Dunia.
 
Hivi Ally Kiba ni maarufu!.Tanzania nchi ya ajabu sana watu wapumbavu ndio maarufu.
 
Binafsi sijaona kosa la jamaa. Kwani wakristo hamrekodi misiba??

Ni kawaida kwa wakristo kurekodi, mziki inakua kama sherehe tofauti na wao waislam.

Basi tu kwa vile kauli kaitoa muislam ila hamna kosa hapo, narudia kusema hili jambo wewe unalikuza labda kwakua humpendi jamaa au una sababu zako binafsi.
 

anaju haya kwelii?
 
Sasa unarekodije msibani? Dini zingine bwana. Ningekuwa Raisi ningechinja wakristo wote
 
Wakristo ndo huwa mnasikiliza qaswida, hakuna muislam mwenye muda wa kusikiliza hayo mainjili yenu mnayokatika nusu uchi
 
Wakristo ndo huwa mnasikiliza qaswida, hakuna muislam mwenye muda wa kusikiliza hayo mainjili yenu mnayokatika nusu uchi
kwani qaswida ina nini cha maana? Ni upuuzi kama upuuzi mwingine hakuna mkristo anayesikiliza upuuzi huo. Wapi uliona kwaya wamevaa nusu uchi? Uwe na uelewa wa mambo usi generalise mambo jaribu kuwa mchambuzi utapata ukweli wa mambo
 
Wewe una haki gani? Na hao wasio haki hawana haki gani? Acha kuandika ujinga ujinga kama vile akili zako umeziweka kwenye friji kwa muda.

Mkuu huwa nakuheshimu sana sioni hata sababu ya kukujibu vibaya kama ulivyofanya...

Si hekima kutetea imani yako kwa kutumia kauli mbaya, si uungwana...

Mbona ninyi Waislamu huwa mnaita watu wasio Waislamu kama makafir? Je nanyi akili zenu zimewekwa kwenye friji?

Wakristo wanaosoma Biblia wanayajua maneno hayo niliyoyaandika, ningeweza hata kutumia maneno mengine mbadala kama "wasiotahiriwa" n.k...
 
Hata wewe unaweza ukawa unaheshimiwa na mimi ila ukileta kashfa kwa imani za wengine basi heshima yako inapotea mara moja tu,

Haya jibu maswali niliyokuuliza kwenye hiyo post yangu uliyoiquote.
 
Yuko sahihi

Ni wakristu tu ndio wana entertain camera misibani

Kwa waislam hairuhusiwi

Tafuta bifu jingine
 
Hata wewe unaweza ukawa unaheshimiwa na mimi ila ukileta kashfa kwa imani za wengine basi heshima yako inapotea mara moja tu,

Haya jibu maswali niliyokuuliza kwenye hiyo post yangu uliyoiquote.

Hahah...mkuu ulipaswa kuomba kueleweshwa kwanza

Kwani wewe Muislamu unapokuwa unamuita Mkristo kama kafir, huwa unadhamiria kumkashifu au unamuadress kulingana na mafunzo ya imani yako kwamba Kafir si muamini wa Allah?

Sikiza, Biblia inawataja watu wote wasio wa imani ya Kikristo kama watu wasio haki, hivyo mwenye haki ni yule anayeamini katika Yesu Kristo...
 
Weka hapa hilo andiko,

Unaongelea HAKI ipi?
 
Weka hapa hilo andiko,

Unaongelea HAKI ipi?

Mkuu tuache uzi wa watu uendelee, hili sio la mleta uzi...

Mistari katika Biblia iko mingi sana na haki inayotajwa nimeeleza kwenye comment iliyopita...

Asiye haki = kafir
Aliye haki = non kafir

karir hapa ina maana kama ambavyo uislam unatafsiri maana ya kafir...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…