Alikubamiza miezi nane gerezani, leo mmekuwa marafiki wa kufa na kuzikana

Ni wapi hawo waliopo waliosema nendani mkaichome nchi au kuuwa.
Utaelewa tu ,maana kuna wakati inabidi mjitoe akili. Hivi kuhamasisha uasi maana yake ni kuleta amani.kuvuruga uchaguzi maana yake nini?
 
Mbowe ni mwanasiasa maslahi, mwanasiasa wa kimkakati, ni tofauti na Lissu kabisa, alivyo introduced no reform no election lengo lake lilikuwa kupima upepo wa ccm ili wakiitwa kwenye maridhiano apate chochote kitu bahati mbaya kwake ni kuwa Lissu yeye alilivalia njuga hili suala kwa nguvu zote, just imagine tunakuwa na Rais kama mbowe? ni huzuni kubwa

Lissu na Heche ni wanasiasa wazalendo na mashujaa tuliobakiwa nao hivi sasa
 
Aliyepewa kesi ya ugaidi kuwa anataka kuchoma vituo vyq mafuta ni nani? Au unajifanya mjinga makusudi. Nani alikuambia uchome nchi yako? Hivi hujioni ulivyo mjinga, mtu mzima kabisa unasema eti niliambiwa nikachome nchi yangu,huwezi kuwa sawa bro
Mihemko wala aifai ndugu,hivi makamanda kwasasa mmefanya kua matusi na jazba ni silaha yetu makamanda. Narudia tena,Mh.Mbowe akuwai kusema kua tufanye treason au tuvuruge uchaguzi mkuu. Alijua kabisa hii nchi ni zaidi ya CHADEMA ata CCM.
 
Hamna mahali alitamka watanzania wachome nchi yao, hilo limedhibitika kwa mashahidi wa juzi mahakamani. Hakuna mahali alitaka kugawa taifa, all he ever wanted ni tume huru, sio tume ya rais yenye makada ndani yake halaf utegemee uchaguzi huo uwe huru
Kumbe tume huru ni kuipata kwa kuhamasisha uasi na kuvuruga uchaguzi. Mbona kuna sheria nyingi zimebadirishwa nchini bila kufanya vurugu,uasi nk. Msitufanye kua watanzania sote ni watu wa kukurupuka. TUNAIPENDA NCHI YETU NA MABADIRIKO YOYOTE YANAWEZA KUTOKEA BILA KUUMIZANA.
 
NDIYO MAANA WALIHAMASISHA VIJANA WAKACHOMA MIUNDOMBINU,KUIBA,KUVAMIA MALI ZA WATU. Hakuna wazalendo kama Heche na Lissu Dunia nzima.
 
NDIYO MAANA WALIHAMASISHA VIJANA WAKACHOMA MIUNDOMBINU,KUIBA,KUVAMIA MALI ZA WATU. Hakuna wazalendo kama Heche na Lissu Dunia nzima.
Walihamasishaje wakati wote walikuwa ndani Lissu magereza na Heche Mahabusu? Wa kulaumiwa kwa machafuko ya oktoba 29 ni ccm na serikali yake na msitafute wa kuwapa lawama wakati watu wamewachoka na bado mnakuwa ving'ang'anizi
 
Ninachokiona mimi ni kuwa CCM wanamhofia Mbowe zaidi ya wanavyo mhofia Lissu. Wanajua Mbowe ana uwezo mkubwa wa kujenga na kuongoza chama chake. Ndio maana zinafanyika kila aina ya mbinu kumuharibia. Mimi mwenyewe nilistuka nilipoona wafuasi wakuu wa CCM wakimpigia debe la wazi Mbowe wakati wa uchaguzi wa Chadema. Walijua watu wataamini kuwa CCM wanamkubali kuliko Lissu na hivyo watampigia Lissu ambae alikuwa ndio chaguo lao. Na kweli, zaidi ya mwaka umepita na tunachokiona ni matamko tu ya jukwaani, presa na posts kwenye social media.

Mimi naamini Mbowe amesoma huo mchezo na anaenda nao hivyo akiangalia picha kubwa. Mbowe ni kama Michael Corleone katika Godfather. Yeye sio Sonny.
Ndio maana watu wake wengi nao wako kimya. Atawastua wengi atakapo rudi katika siasa.

Amandla...
 
Uko so emotional, kuna mahali nimeandika tume huru itapatikana kwa vurugu?

Kuna mahali alihamasisha? Hivi ndio vitu mapak sasa vinajadiliwa mahakamani

Think out of the box bro, sio unasoma kama unasoma tangazo la sigara
 
Hakuna anechukia Lissu kua mwenyekiti bali kinachochukiwa ni kauli za kuligawa taifa na kuta


ka watanzania wachome nchi yao wenyewe wakati yeye familia yake hipo ughaibuni salama.
Lete miongoni mwa hayo unayoyasema kuwa anatakakuchoma nchi yake.
Mnamchukiq tu Lissu ila ametoa mchango mkubwa katika nchi hiyo yenu na mkadharau kila kauli yake .
 
Seems hujaenda shule au ni uchawa umeshakuwa part of your "genetic" make up
Mimi binafsi wakati hii kesi inaanza nilijua Lissu atakaa kimya hatojitetea Wala kua na wakili au mashahidi kesi iendeshwe upande mmoja kwa kuamini kua anaonewa lkn alivoanza kujitetea na kuweka mapingamiz na kinachoendekea sasa mwenyekiti gudbai
 
Utaelewa tu ,maana kuna wakati inabidi mjitoe akili. Hivi kuhamasisha uasi maana yake ni kuleta amani.kuvuruga uchaguzi maana yake nini?
Na yeye ameshasema ili mwelewe kauli zake na sio kuchukua kipande cha vΓ­deo kisichozidi dakika moja. Elewa lengo zima ndio utafahamu,
 
Mimi binafsi wakati hii kesi inaanza nilijua Lissu atakaa kimya hatojitetea Wala kua na wakili au mashahidi kesi iendeshwe upande mmoja kwa kuamini kua anaonewa lkn alivoanza kujitetea na kuweka mapingamiz na kinachoendekea sasa mwenyekiti gudbai
Unajua what it means being silent to charges levied against a suspect in criminal law? Tafuta jawabu
 
Mihemko na jazba aviwezi kua suluhu tofauti na kujivua nguo kamanda. Mbowe pamoja na kua na kesi ya ugaidi nk akuwai kusimama mbele ya chombo cha habari na kutuambiwa wafuasi na wanachama wa CHADEMA tuichome nchi yetu sisi wenyewe.
Aliwahi kusimama na kusema ccm mpore chaguzi za nchi hii na kufanya mauaji. Kama haijawahi kusimama na kusema mchome nchi hii, kesi ya ugaidi mlibambikia ya nini?
 
Kesi ya ugaidi mliyokuwa mmempa hamkuwa mmeyasema hayo unayoyakanusha hapa?
 
Utaelewa tu ,maana kuna wakati inabidi mjitoe akili. Hivi kuhamasisha uasi maana yake ni kuleta amani.kuvuruga uchaguzi maana yake nini?
Amani si kuwa mjinga, kama ni wapinzani kuuwawa wameuwawa sana, acha ukatili waliofanyiwa ili ccm ibakie madarakani kwa shuruti. Ni amani ipi unaongelea labda? Ni wapi unaweza kusema zimetokea kura 31m wakati hakukuwa na idadi hiyo ya wapiga kura? Mnadhani kila mtu atakalia kimya uovu wenu kwa kulinda amani fake ya kuburuzwa na ccm?
 
It seems hata kupewa kesi ya ugaidi ilkuwa ni kumrudisha "mtu wao" katika msitari, maana alijisahau akaanza kuamini kuwa yeye ni mpinzani kweli, kumbe ni mpizani aliyetengenezwa na mfumo.
 
Baada ya gia angani 2015 naona kazi ya kumtetea Mbowe ngumu sana.
Kaja kujimaliza mwenyewe kwa kutowashauri vema wafuasi wake akina Musa Mwalimu, Yericko, n.k.
 
Jamaa kwake siasa ni biashara, ana msemo wake maarufu hakuna Adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu
Ni vizuri pia kwenye Chama kama Chadema, kuwepo na kitengo maalumu Cha kuwachunguza viongozi wanaopandikizwa na CCM ndani ya Chama ili kubaini na kuwapopoa mapema kabla hawajaathiri chochote

Huyo jamaa amekuwa ni mamluki wa CCM makumi ya miaka
 
Wachaga kwenye pesa wanauza hata utu wao wewe fuatulia vijana wengi walioshinda kulinda migongo yao ni vijana wakichaga sababu ya tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…