Nimeandika zaidi ya mara tano lakini nafuta.
Anyway kwaufupi tu;
MWANAMKE ACHA KULA PESA NA KUPOKEA ZAWADI KWA MWANAUME AMBAE HAUPO TAYARI KUMPA.
Vyake unavitaka ila akikuomba unatia tia huruma ety ooooh namuheshimu pumbaf, mbona pesa zake huziheshimu
Wakati mnaanza urafiki ulikuwa unaita GariYani mtu wa namna hyo usimchekee kabisa kabisa.
Mim hii ishawai nitokea, nilimtoa nduki na mvua ilikua ikinyesha hadi kufika kweny kigari chake nahisi alikua kaloa hadi mbupu.
Mdada anajiona ana haki ya kula vya mwanaume kuliko mzazi wa mwanaume huyo halafu samsingi anapeleka kwa fundi wa dish la dstv.🤣🤣🤣Kwani hana ndugu wa kike mpaka atake udada na kaka na wewe. Unamlia hela zake halafu wewe hutaki kuliwa
Na awe kibogoyo.Akuna urafiki kati ya simba na swala labda simba mzee
Unakuta ni mtu unayemheshimu.
Na ujue kukubali huo ndio mwanzo wa kuendelea...
Urafiki bila K wanini?Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake..
Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?
Yaani...
Alikuwa anajaribu kula tunda kimasiharaHivi huwa wanafanya kusudi kupima msimamo wa mtu?
Lakini...kwanini atengeneze uadui pale anapokataliwa?
🙂Mambo ya wahindi atuwezi😂Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake..
Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?
Yaani...
Na wewe hela zake usimuombeWanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake..
Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?
Yaani...
Ila vyake kula uliona raha hee???Yani mtu wa namna hyo usimchekee kabisa kabisa.
Mim hii ishawai nitokea, nilimtoa nduki na mvua ilikua ikinyesha hadi kufika kweny kigari chake nahisi alikua kaloa hadi mbupu.
Na wewe sasa usizoee hela zake dada.Tena mengine yameoa kabisa, unakuta linajiliza ooh mke wangu ananibania nina mwezi sijafanya nihurumie😂😂😂ufyoko fyoko tu, kale ulikotoa mahari aisee tusizoeane, mbaafu
Nipe code mkuuWanaume wote wangekuwa na mikato kama yangu wangegundua papuchi hazitafutwi bali huja zenyewe.
Ndio hapo unajua akili za wanawake ni (Mseto pandikizi).Huyu kamtoa nduki afu hela zake kala ila kuna sehemu jamaa anapewa bure.🤣🤣🤣Na utakuta mwingine anapewa bure
Ova
Code mpunga mzeee😂🤣🤣🤣Nipe code mkuu
Ila usile hela zake kama mpenzi wake afu ulete pigo za urafiki wa kawaida kwa wanaume wa bongo,unaweza kubakwa🤣🤣😂Hata bongo wa hivyo wapo.
Wanaitwa cha wote au changu doa...
Unaweza tu kuwafuata.
But once it comes to friendship, rules & laws shall be applied!