Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

Noted. Ni kipigo
Siku akimuongelea EX wake mpige kibao kimoja cha maaaana shavuni hatorudia tena kukuletea dharau. Tatizo hujawahi kumpa kibano huyo anakuchukulia poa
 
Nimekuelewa mkuu maana kama ni UMASKINI tumeuishi nae.
Nimishi nae sina kitu tunaanza maisha, toka tunazaa mtoto wa kwanza wa ujanani bado wanafunzi tuko 1st year, imagine mpaka namuoa, tuna panga chumba kimoja, tunakuja vyumba viwili, tunapanga nyumba nzima ..tunajenga kubwa ya kisasa over 70 millions nyumba tunanua gari ,viwanja , Man!!!! Ppaaaap!!!! Nakula cha mbavu.πŸ˜‚
Asante Sana mkuu kwa kunipa ALART 😊
Muhimu sana. Ni ngumu kuwaelewa japo si wote na si mara zote
 
Fukuza huyo Maramoja atakusumbua Sana, halifai, linatamaa na linapenda kumkalia mwanaume, shauri zako
 
Aisee ni kama umekopi maisha yangu Yaani Hawa viumbe sijui wana nini Yaani drama zote anazokuonesha ww na mimi wangu ni ivo ivo kwa kweli wanawake ni kazi sana kuishi nao
 
Aisee shetani akibingilia Kati ni muharibifu kikubwa tusiache kusali/ kuswali kuombea ndoa zetu na familia zetu.

Very painful pole Sanaa Sanaa najua ushapona na utakua umesha kamatia mwingine ☺️😊
 
Aisee shetani akibingilia Kati ni muharibifu kikubwa tusiache kusali/ kuswali kuombea ndoa zetu na familia zetu.
Kabisaa. Mi wangu na ulokole alikua mlokole pia mpaka akanishawish nikaanza kusali na mimi pentecoste πŸ˜‚πŸ˜‚ kwahiyo kama maombi yalikua yakutosha .wala simlaumu shetani kwwnye hili πŸ˜†πŸ˜†
Very painful pole Sanaa Sanaa najua ushapona na utakua umesha kamatia mwingine ☺️😊
Ahahahahah Man, namshukuru the progress is far better, sasa nishafungulia Turbo. Kuna mtoto mmoja wa kinyakyusa (hawa wanyaki watakuja waniue) kashakwama hapa 😁😁 anazid kunifabya mpya

Sema sasa kashanikuta nimebadili sheria za mcheZO, acha niendelee kumbandua tuone kituo kinachofuata ni wapi πŸ˜‰
 
Haaahaa,
Hao wanyaki huwaga wamefungasha Tako Tako MWILI MWILI ni mwendo wa Kuta thamani ya X ☺️😊
 
Bora kuwa single hawa wajinga hapana

Wangu ana wivu sijawah ona,najiona nateseka wakat dunian tunaish mara moja

Nikiwa nae hatak nisalimiane na mwanamke yeyote hata ninao fahamiana nao

Mwanamke akija kwenye biashara yetu akinichangamkia tu ni kosa,ugomvi

Nikipigiwa simu nisipopokea ni kesi

Nikipigiwa simu nikapokea ikasikika sauti ya kike ni tatzo anaanza kujiropokesha wakat hajajua hata aliepo kwenye sm ni nani,kuna muda ananiaibisha unakuta hata ninae ongea nae anasikia maneno anayoropoka

KUna muda huwa anajaribu kurusha ngumi wakat hata uwezo hana
 
Aisee ni kama umekopi maisha yangu Yaani Hawa viumbe sijui wana nini Yaani drama zote anazokuonesha ww na mimi wangu ni ivo ivo kwa kweli wanawake ni kazi sana kuishi nao
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…