Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

Hio nzuri
 
KWA ULIVYOANDIKA, KATI YA MIMI MSOMAJI WA POST AU WEWE MTOA POST KUNA MMOJA ANA HASIRA..
ebu kunywa maji kwanza, na mimi ninywe maji..urudi uandike upya na mimi nisome upya, nitakushauri kitu.
 
Amini nakuambia kwa tabia hizo huyu mkeo watu wanakuchapia na yeye ndio ananunua watu ili wamrukie.
Na huko mbeleni unaweza kuja kupata ugonjwa mbaya sababu utakuja kumfumania
 
Amini nakuambia kwa tabia hizo huyu mkeo watu wanakuchapia na yeye ndio ananunua watu ili wamrukie.
Na huko mbeleni unaweza kuja kupata ugonjwa mbaya sababu utakuja kumfumania
Sasa kabla hatujafika huko mbele things should end here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…