Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

Mimi ni Drama ya Tano imeniumiza sana.
Kwanini?Why?

Mimi niliwahi shinda Mkeka nikamkalisha chini the nikamwambia hizi hela narudisha kwa Sportpesa umesema ni haramu.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Ikawa 13 hours in Benghazi๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Unataka ukale na Malaya wako๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hivi mtu unapata wapi ujasiri wa kumfananisha uliyenae na Ex? Ex wakati wake ushapita, tena unatamka wazi wazi? Huogopi? Eti unatishia kuondoka. Woiiiih

Nna hakika huyo mwanamke anajiweza kiuchumi, au laah kuna kitu anacho ndo pigo lako wee na anajua huchomoi hapo.

Polee sana, au humkazi vizuri wee? Unaweza mpa vitu vyote ila kunako 6x6 huna maajabu, ndo maana anapata muda wa kuwakumbuka ex zake, waiiiih.

Em kuwa mwanaume bhana,
Ndoa ni kwa wanaume tyuuh, ila sio kwa wa kiume au wavulana.
 
Na pumbu mzigo wazibebe begani kabisaa
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Aisee kumbe on the other team napo kuna vibweka vyake๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿค”
E u imagine three guys fighting all becoz of a mans dickkk size๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Aisee kumbe on the other team napo kuna vibweka vyake๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿค”
E u imagine three guys fighting all becoz of a mans dickkk size๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Tena kuna vibweka utakaa una staajabu,
Wanapigana hao hatari, full heka heka.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nna cha kusema? Namuonea huruma huyu Dr Santos.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nashukuru Sana kwa ajiri ya mke wangu. Nilikua na option mbili moja ya mwanataaluma mwenzangu ambae tulikuaga SOUL MATE fanya mambo mengi Sana Ila nilipo mwambia anipe jibu ndani ya miezi miwili tuoane Ile siku imefika akajibu TUWE MARAFIKI yaan tuendelee kulana na kusaidiana bila kuoana.

Basi kimya kimya nikafanya arrangements za ndoa na huyu mkewangu nilie nae
Mke ambae AMEWAI kununua kuku kwao kwa pesa yake na kusema AM 4 REAL kawanunulia
Otherwise wise kwa ubusy na Majukumu ya kazi yaan sijui ndio ningekua nagongewa Sana so Mimi kwenye upande wa kuoa nilibahatika KUMPATA MWANAMKE AMBAE MIMI NDIO NILIKUA DREAM MAN WAKE.

kosea kujenga nyumba utabomoa Ila usikosee kuoa.
NILIVUNJIKA MGUU LAST YEAR AKAWA ANANITAWAZA KAMA MTOTO NA KUNISAIDIA KWA KILA HALI ANANIFICHIA UZAIFU WANGU NA TUNAPENDANA NI MFANO WA MAPENZI YA DHATI AMBAYO HATUACHANI MPAKA KIFO.
 
Mke unae na una tamba nae. ๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
Mapenzi ya dhati yapoo, ndoa yenu idumu milelee.
Mbarikiwe sanaa.
 
Mwanmke akizud 20 yrs atakusumbua tafuta mwanmke asizd 21 na awe at least kafika form four . achana na hao wanawake wakiswahili
Ushauri mzuri sanaa huu. Auzingatie next time.

Mkuu min -me njoo tumshaur doctor Santos.

Pia tumpeleke ๐Ÿบ ๐Ÿป ๐Ÿบ apunguze mawazo Mimi ntaagiza MAGIC MOMENT Ile kubwa ya 750ml pembeni MBUZI choma laini.
 
Kuna wanawake Wana bahati humu duniani lkn wanazichezea
Pole sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ