Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

Nimeishia kusoma hapo uliposema kila mkigombana anadai talaka na kutishia kuondoka mna solve yanaisha.

Weee wa wapi wewe? Kwa dizaini hiyo ya kuonyesha udhaifu kwanini usione moto? Mtu anatishia kuondoka we unambembeleza? Acha aende , punguza kuwa dhaifu.
 
Weupe wa wapi? Real au koko? Mama mtumishi usijichanganyee. Oooh.

Ila Weupe, sina mzuka nao kabisa sijui kwann hatam
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Real bana sio Koko, naelewa haya mambo Niko makiniπŸ˜‚
Mi nawaelewa mnoo
Ngoja tusiharibu Uzi wa watu coca
 
Weeeee all see the sign, but weeeee normally ignore it
 
Wewe ni mpumbavu
Ulioa mke wa mtu
Kama mwanamke hukumkuta bikra huyo sio mke wako mzee
Ndiyo maana anakufanyia comparison
 
Mtu akikuambia tuachane, ukamng'ang'ania, akikuletea drama umezitaka mwenyewe.
 
13 hours movie kali sana
 
Ule weupe wao, ndo had kwa ududu, inakuaje hapo?
Mavuzi yanakua rangi ya hudhurungi, wee huogopi? Aiiiih
Hapanaaa, ni viba100 kweli. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Coca mjingaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimecheka jmn
Ndio Kwa tusio na wowowo ndo wanatufaa na hivyo vibamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…