Aliniacha kisa ex wake tena anataka kurudi kwangu

Aliniacha kisa ex wake tena anataka kurudi kwangu

Ok nimekuelewa ukweli alinambia kua alikua na bwana wakazinguana harafu mi nilimkuta wakati yupo na depression baada ya hapo ndo kamrudia tena ila ninahasira nae sana nataka nimfanyie kitu ambacho hata sahau kwa sababu aliniachia maumivu nikasahau tena jana kaanzisha mengine
Mmmmh🤔🤔🤔🤔
 
Acha hizo wewe, mwanaume hawi na visasi vya kijinga, amua kupiga chini tulia zako tafuta mwengine, tulia nae.
Au nasema uongo Joanah ??
 
Akitaka kuolewa tena atakuacha akishindwa huko atarudi man up mzee
 
Brother listen to me very careful, kwa nilivyozisoma hizo meseji kwa mukhtasari huyo ana mtu wake but sometimes huyo mtu wake anampotezea kwa hio anakosa wapi kwa kujishikiza sasa kwako atakuja sababu hana option Ila mtu wake akija anambeba kirahisi tu maana yake ni kwamba huyo ni mtu wa mtu mwingine sio mtu wako au niseme ni mpenzi wa Mwanaume mwingine sio mpenzi wako, kwa hio jiongeze au nasema UONGO my Cute Wife Kapeace Mamndenyi Leejay49
Hii inanikimbusha Song kali la Lucky Dube la

Beautiful Woman in the city is for another Man's plaything.
 
Ok nimekuelewa ukweli alinambia kua alikua na bwana wakazinguana harafu mi nilimkuta wakati yupo na depression baada ya hapo ndo kamrudia tena ila ninahasira nae sana nataka nimfanyie kitu ambacho hata sahau kwa sababu aliniachia maumivu nikasahau tena jana kaanzisha mengine
Huna kipya utakachofanya mzee...wewe endelea na life tu
 
Mtoe kwenye Ramani yako ila mfanye kitoweo yaani pale upwilu unapo zidi yeye ndio zimamoto wako
 
Mwanamke anakwambia "ANAKUONEA HURUMA" yaani kuwa na wewe Ni just anakufanyia fear tu 😂😂

Kwenye Convo zote wewe ndio unaandika "NAKUPENDA NAKUPENDA" yeye hata ajigusi

Mwisho fungakazi anakwambia kabisa "NAFOSI HISIA" mzee mwanamke hata umpende vipi akiwa Hana hisia na wewe ondoka

Ila hii kuamua kujenga maisha namtu then kumbe mwenzio bado ana date for fun inasingua kinyama
 
Kuna wanaume wajinga dunia hii

Nadhan ulipata malezi ya upande mmoja tu Tena mama TU

Watoto waliolelewa na mama na baba au baba pekee wanamaamuzi hawategemei mtu

USHAURI WANGU MRUDIE UMALIZIE RANGI ZA DUNIA KUZIONA ULIZOBAKISHA
 
Back
Top Bottom