Aliniacha kisa ex wake tena anataka kurudi kwangu

Aliniacha kisa ex wake tena anataka kurudi kwangu

Nilimpenda sana na nilijua nitamuoa yeye sasa ndo hv kama atakuja sahizi nikupita nae na kutembea

Nina swali moja na nataka jibu moja ili litengeneze swali lingne. Baada ya kuachwa na yeye, je umewahi kuna mwanamke mwingne? Na kama yupo je hauoni alichofanya yeye kwake ndicho unataka kumfanyia mwingine? Nauliza hivi ili ujiangalie na wew upande wako inawezekana yeye aliombwa sana msamaha na ex wake hadi kamkubalia yani history is about to repeat itself na yeye ndie wewe the same case. Atakuacha tena na ulyenae xaxa atakuja kupost tena mpenz wangu aliniacha kisa ex wake na anataka kurudi tena
 
Back
Top Bottom