Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Tuna kupa free milk, Kama bonus😂🤣We haya😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna kupa free milk, Kama bonus😂🤣We haya😂😂😂
Umekunywa nini asubuhi hii we kijana😂😂😂😂Tuna kupa free milk, Kama bonus😂🤣
Umekunywa nini asubuhi hii we kijana😂😂😂😂
Ewaaaa, maziwa fresh and tasty😂😃🤗Basi vizuri 😊🤗
Vizuri 😋Ewaaaa, maziwa fresh and tasty😂😃🤗
Yalaa🏃🏃🏃😃😂🤒Vizuri 😋
Unaenda wapi sasa 😃😃😃Yalaa🏃🏃🏃😃😂🤒
Naogopa 😄😃🤒🏃🏃Unaenda wapi sasa 😃😃😃
Sawasawa 😃😃Naogopa 😄😃🤒🏃🏃
We huogopi??Sawasawa 😃😃
Tulia wewe 😂We huogopi??
Umesahau ku-log in ID yako uloyoanzishia mada mzeeSijawa na mwanamke meingine
H😂😂😂😂😂Sometimes God sends your ex back into your life to see if you're still stupid.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie tu, mda hautoshi tunatakiwa kujadili na bandari ujue[emoji2][emoji2][emoji18]
Pia kuna kanamna kama mwamba yupo tayari kufungua moyo wake tenaBrother listen to me very careful, kwa nilivyozisoma hizo meseji kwa mukhtasari huyo ana mtu wake but sometimes huyo mtu wake anampotezea kwa hio anakosa wapi kwa kujishikiza sasa kwako atakuja sababu hana option Ila mtu wake akija anambeba kirahisi tu maana yake ni kwamba huyo ni mtu wa mtu mwingine sio mtu wako au niseme ni mpenzi wa Mwanaume mwingine sio mpenzi wako, kwa hio jiongeze au nasema UONGO my Cute Wife Kapeace Mamndenyi Leejay49
Wewe kitu kitamu unachokipenda kikija mezani na muda huo umeshikwa na njaa ya mda mrefu ukaambiwa ule utagoma kukila?Pia kuna kanamna kama mwamba yupo tayari kufungua moyo wake tena
kwa ex wake ama umeonaje izo convo zao au mimi ndo nimekosea mkuu
Wakuu kwanza nikili nimetumia ID nyingine tofauti na ninayotumia.
Kuna dada ambaye nilikutana nae na tukawa katika mahusiano kumbe kipindi nimetoka kumtafuta alikua ameachana na huyo ex wake.
Sasa katika mahusiano yetu tulipendana sana yeye alionyesha kunijali japo sijui rohoni alikua ananiwazia nini, tumekaa katika uhusiano zaidi ya miezi sita bila ugomvi wowote.
Ila baada ya hapo nikaanza kuona tofauti nikamuuliza mbona unakuwa kama mbali shida nini akasema hapana na bahati mbaya baada ya siku kama nne mbeleni mimi ( wezi waliingia nako kaa waliruka fensi na kukaa ndani wakawa wananisubiri nirudi sababu walikua wanajua nafanya kazi za mobile money) na yeye siku nne hizo alikua na safari ya mikoani, nikampa taarifa kuwa nimeibiwa na wameniumiza .
Sasa kipindi naendelea kuuguza jeraha kama wiki tatu mbele nikakuta mesji,
yeye: upo poa
Mimi: nipo poa nambie
Yeye: safi nikwambie kitu ila usinune
Mimi: sawa nakusikiliza
Yeye: i m sorry naona kwangu mda wa kuolewa umefika so nataka kuolewa naomba nisameheme
Mimi:💔
Jana kanitafuta nikachati nae kumbe karudi alikokua yupo nyumbani kwao ambapo pia ni karibu na kazini kwangu, akaja maeneo ya kazi akawasalimia majirani wa pale kwangu hakuja alivotoka jana kanitumia meseji akaa kidogo akapiga simu naomba nisamehe turudiane nilikosea nimejifunza nisamehe sana mi nikamjibu nitakupigia, sasa wakuu nimwambiaje maana nina hasira sana japo alipiniacha sikuonyesha kama nina hasira nae sana nikawa namjibu kawaida sana ila ukweli niliumia sana.Baadhi ya meseji za nyuma na janaView attachment 2707339View attachment 2707335View attachment 2707335View attachment 2707337