Aliniacha kisa ex wake tena anataka kurudi kwangu

Pia kuna kanamna kama mwamba yupo tayari kufungua moyo wake tena
kwa ex wake ama umeonaje izo convo zao au mimi ndo nimekosea mkuu
 
Pia kuna kanamna kama mwamba yupo tayari kufungua moyo wake tena
kwa ex wake ama umeonaje izo convo zao au mimi ndo nimekosea mkuu
Wewe kitu kitamu unachokipenda kikija mezani na muda huo umeshikwa na njaa ya mda mrefu ukaambiwa ule utagoma kukila?
 
Ukirudiana naye ataendelea kukusumbua maana alishakuambia hana hisia na wewe, achana naye tafuta mwingine Wanawake wapo wengi sana.
 
Bro, if someone is able to do it once, there is no doubt about the fact that the same person will be able to do it again.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…