Umeongea point muhimu Sana mkuu[emoji106]Heshima kwako. Haswaa wanawake wa leo. Unamwambia wakat exposure anayo ameipata from ur fellow high level men. Tatiz la men ambalo ni la kimaumbile cant settle in Feelings. Vikilipuka vimelipuka. [emoji13]No shame no caring no what.
Nunda kama nundaπ€£π€£Dada ako me nunda π π yaani sijaliii wala nini
Ila naelewa tu how it feels
Huwa ninakukubali kitu kimoja nacho unajua kujivunia sana gunia lako kila upatapoππ π πNashukuru Sana kwa mwanaume nilienae mwanaume akikupenda anakupenda tu kama hakupendi atawekwa vikwazo
Yaan siendi popote aiseeHuwa ninakukubali kitu kimoja nacho unajua kujivunia sana gunia lako kila upatapoππ π π
Hapana Ila kuwa na mim kuna muda ni msumbufu mno ila mi situkani nilijaribu tu kukaripia siku moja kilichonikuta weee sijawah rudia mwanaume wangu hapendi kelele kabsaUna vi-element vya manipulation[emoji4]
Nilidhani Mimi tu ndio nimeiona hii. πππ Maana ukisona story yenyewe unashindwa kuelews hiyo malcontent imekuja je hapo.Well, I met this perfidious malcontent in early last yearView attachment 2480809
Namba 3. Inanitesa sana hiyoKuna mambo 4 Kama mwanaume unapaswa kuyajua
1.Wanaume tunatamani Kwanza
2. Wanawake wanapenda baadae
3. Ukizidisha attention,unazd kumkosa,
4. Akishakupenda, usipompa attention anachanganyikiwa
Mi pia kwakweli nimesoma kizungu hadi nikaanza kuhisi usingiziTatizo ung'eng'e mwingi,
Kuna wachangiaji umewapoteza kabisa
Sio shida zangu mimi π πNunda kama nundaπ€£π€£
Hayo maneno yapo ila hiyo tungo hakunaga π"perfidious malcontent" google wakanambia "do you mean......."
Kuna kupotezea na kususa; dogo alisusaHila wakuu kumbembeleza kipaji au kumfuatilia demu Miaka Mimi siwezi Mimi nakufuatilia week ukizngua nakupotezea
ππππUngeendelea na kingreza chako ningeachia para ya kwanza.