Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Mkuu ukija kuchapiwa na mtu anaejua kupetipeti usije kulaumu😁😁😁😁😁
 
Umejitahidi
Mimi kwanza kuoa huko naanzia wapi? Heri wanawake hata wanaojiuza unajua kabisa anauza na haupo peke yako unapiga nampa pesa anaondoka.

Ila mke uliyelipa mahari na kumuweka ndani na kumpa service zote then bado analiwa na masela dah mimi kila nikiwaziq hayo roho inagoma kabisa kuoa .

Mbqya zaidi na watoto aliokuzalia unakuta sio wako!

Yanini yote hayo chifu USIOE
 
Mkuu ukija kuchapiwa na mtu anaejua kupetipeti usije kulaumu😁😁😁😁😁
Kaka mimi najua kumdekeza mwanamke tena sana.
Mie nakuna hadi nazi na kumpikia mkewangu aisee!!
Ila ukinizingua usidhani kama nitakubembeleza ubaki,hell no my dear.
Ukizingua ukitaka kusepa tena nakusaidia kukufungashia mabegi kabisa na kukuitia usafiri na kukusindikiza juu.
 
Acha hela kadri ya uwezo wako, mpige miti vizuri

Acha vitisho havisaidii! Wanachapiwa wanajeshi, Marais sembuse wewe
 
Pole sana kwa mamamkwe na ww unaishi bado na huyo mwanae..?
 
Hahhaha bora ume edit, sawa mkuu😁
 
Acha hela kadri ya uwezo wako, mpige miti vizuri

Acha vitisho havisaidii! Wanachapiwa wanajeshi, Marais sembuse wewe
Unadhani naogopa kuchapiwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!?
Kwani futa lake au langu!?
Muache walishenyente na mimi natafuta la kulishenyenta maisha yanaendelea.

Yani haya maisha pesa inipe stress,masomo yanipe stress,familia inipe stress na wewe tena futa la mwantumu unipe stress!??
Aaagh wee thubutuu!
 
Mie naamini juu ya familia na ndoa mkuu.
Ila pia naamini anayekosea anastahili kupewa adhabu yake stahiki.
Hayo unayoyaeleza nikiyagundua mtu anapata stahiki yake na maisha yanaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…