Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ukija kuchapiwa na mtu anaejua kupetipeti usije kulaumu😁😁😁😁😁Ndio maana mimi nilipomuoa huyu mkewangu wasasa nilimpa kauli mbili ngumu.
Nilimwambia mimi ni mtu ambaye halazimishi mapenzi na habembelezi, kwanza sijakulazimisha kuolewa na mimi.
Hivyo ukitaka kaa usipotaka ondoka,maana maisha ya mahusiano hayalazimishwi.
Pili mimi ni muajemi ama mwarabu ama msomali,bimaana mtu wa kisasi alkisasi haqqi.
Sasa ukifanya ujinga usidhani nitaufumbia,nitaulipiza mara elfu yake na nitakufanya ujute wewe hadi kizazi kilichokuzaa.
😂😂😂😂Weee kalivyo kajinga kakaenda kumwambia mamaake hadi nyumbani kakataka kuondoka kwa hofu.
Ila alhamdulillah azingui,kama akizingua najua namna ya kumpa stahiki yake.
UmejitahidiNdio maana mimi nilipomuoa huyu mkewangu wasasa nilimpa kauli mbili ngumu.
Nilimwambia mimi ni mtu ambaye halazimishi mapenzi na habembelezi, kwanza sijakulazimisha kuolewa na mimi.
Hivyo ukitaka kaa usipotaka ondoka,maana maisha ya mahusiano hayalazimishwi.
Pili mimi ni muajemi ama mwarabu ama msomali,bimaana mtu wa kisasi alkisasi haqqi.
Sasa ukifanya ujinga usidhani nitaufumbia,nitaulipiza mara elfu yake na nitakufanya ujute wewe hadi kizazi kilichokuzaa.
😂😂😂😂Weee kalivyo kajinga kakaenda kumwambia mamaake hadi nyumbani kakataka kuondoka kwa hofu.
Ila alhamdulillah azingui,kama akizingua najua namna ya kumpa stahiki yake.
Kaka mimi najua kumdekeza mwanamke tena sana.Mkuu ukija kuchapiwa na mtu anaejua kupetipeti usije kulaumu😁😁😁😁😁
Acha hela kadri ya uwezo wako, mpige miti vizuriNdio maana mimi nilipomuoa huyu mkewangu wasasa nilimpa kauli mbili ngumu.
Nilimwambia mimi ni mtu ambaye halazimishi mapenzi na habembelezi, kwanza sijakulazimisha kuolewa na mimi.
Hivyo ukitaka kaa usipotaka ondoka,maana maisha ya mahusiano hayalazimishwi.
Pili mimi ni muajemi ama mwarabu ama msomali,bimaana mtu wa kisasi alkisasi haqqi.
Sasa ukifanya ujinga usidhani nitaufumbia,nitaulipiza mara elfu yake na nitakufanya ujute wewe hadi kizazi kilichokuzaa.
😂😂😂😂Weee kalivyo kajinga kakaenda kumwambia mamaake hadi nyumbani kakataka kuondoka kwa hofu.
Ila alhamdulillah azingui,kama akizingua najua namna ya kumpa stahiki yake.
Mpaji Mungu Umemuona Hamisi. Bado anahubiri kitu ye hafanyi.hapana sina, mie team chaputa kwanza
Pole sana kwa mamamkwe na ww unaishi bado na huyo mwanae..?Yule mamkwe amezaa watoto wanne kila mmoja ana baba yake.
X wife alikua watatu kuzaliwa na babaye watatu.
Yule mzee/babamkwe alikubali kusilimu ili amuoe yule mama,kwasababu bamkwe alikua mkristo si unajua wachaga mpaka umbadilishe dini ni mbinde?
Alibadili dini akamuoa yule mama,sasa wakaishi na kuishi,yule bimkubwa alipata mzigua mwenzake huko ambaye muislam mwenzake.
Kule penzi limemkolea akajisahau kama kamsilimisha mchaga huku,at the end akaanzisha vurugu mara ooh mtu mwenyewe dini haufati muislam jina mara ooh sijui vile akadai talaka ndoa ikavunjika.
Yule mzee alidata alipagawa alianza kuwa mlevi hadi akafukuzwa kazi,na alikua daktari wa watoto hospitali ya rufaa.
Ulevi ulipitiliza akaachishwa kazi.
Dada yake na baba mkwe ile kitu ilimuuma,alisitisha huduma zote kwa yule mama na akasema mtoto watamlea wenyewe,mama akagoma akasema mtoto nabaki naye mimi.
Basi yule shangazi mtu akawa anatoa huduma kwa mtoto tu tena zenye limit.
Ile ikawa inamuuma yule mamakwe,mtoto kadri alivyokua anakua akawa anamjaza ujinga kuwa baba yake alikua mlevi na muhuni wa wanawake ndio maana wakaachana.
Na baba yake ana uwezo ila amekataa kuwahudumia na mali kampa dada yake ndio aziendeshe.
Mtoto akakua na ile chuki hadi ukubwani.
Kipindi anakua shangazi yake alitoa nyumba nzuri tu ili akae yeye na mama yake.Mama mtu asivyo na adabu akamleta mwanaume hawajaoana akawa anaishi nae mule ndani.
Yule jamaa alipofariki msiba ukafanyika pale,ndipo shangazi mtu akafahamu kuwa nyumba alotoa kwaajili ya mtoto wa kaka yake wifi yake alikua anaishi na hawara yake.
At the end ugomvi ulienda ukaisha.
Ila baba mkwe alifariki kwa kuungua na moto.
Unaweza ukaona wanawake ni nyoka kiasi gani mkuu.
Wewe si ndio dronedrake mbona kuna mtu hapo juu kakutaja kama mnapendanahapana sina, mie team chaputa kwanza
Huyu jamaa atamaliza vijanaMpaji Mungu Umemuona Hamisi. Bado anahubiri kitu ye hafanyi.
Hahhaha bora ume edit, sawa mkuu😁Kaka mimi najua kumdekeza mwanamke tena sana.
Mie nakuna hadi nazi na kumpikia mkewangu aisee!!
Ila ukinizingua usidhani kama nitakubembeleza ubaki,hell no my dear.
Ukizingua ukitaka kusepa tena nakusaidia kukufungashia mabegi kabisa na kukuitia usafiri na kukusindikiza juu.
Unadhani naogopa kuchapiwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂!?Acha hela kadri ya uwezo wako, mpige miti vizuri
Acha vitisho havisaidii! Wanachapiwa wanajeshi, Marais sembuse wewe
Ana rundo la wafuasi humu ndani Ibilisi wa Mvuti huyo.Huyu jamaa atamaliza vijana
napendana na BayCare tu, sihudumii asiye mgonjwaWewe si ndio dronedrake mbona kuna mtu hapo juu kakutaja kama mnapendana
😁😁😁 ephen banaAcha hela kadri ya uwezo wako, mpige miti vizuri
Acha vitisho havisaidii! Wanachapiwa wanajeshi, Marais sembuse wewe
naposti picha za baby yangu, subiri hapoMpaji Mungu Umemuona Hamisi. Bado anahubiri kitu ye hafanyi.
Umefurahi?😉😁😁😁 ephen bana
😉😉Umefurahi?😉
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa jinsi wanawake tunavyowapa jakamoyo, bora walivyoanza kupendana wao kwa wao,
Mie naamini juu ya familia na ndoa mkuu.Umejitahidi
Mimi kwanza kuoa huko naanzia wapi? Heri wanawake hata wanaojiuza unajua kabisa anauza na haupo peke yako unapiga nampa pesa anaondoka.
Ila mke uliyelipa mahari na kumuweka ndani na kumpa service zote then bado analiwa na masela dah mimi kila nikiwaziq hayo roho inagoma kabisa kuoa .
Mbqya zaidi na watoto aliokuzalia unakuta sio wako!
Yanini yote hayo chifu USIOE