Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Nishalipiwa ada 2times na wakaka tofautitofauti

Mungu awabariki huko walipo☺️
Kwahiyo unawaona wajinga waliokulipia ada sio?! Unatudhihirishia kiwango chako cha hali ya juu cha utaahira na uombaomba si ndivyo?!

Inawezekana walikulipia kwa kuwa uliwadanganya huna wazazi, huna ndugu na huna msaada... Maisha yako magumu, na story chungu tele za kutunga majamaa wakaingiwa na huruma ya ubinadamu wakakusaidia au inawezekana vilevile walikulipia kwa madhumuni fulani ya kutegemea malipo kutoka kwako mbeleni. Jokes away hakuna hata mmoja wapo aliyekukojolea hapo?!
 
Usemayo sijali! Muhimu ada ililipwa
Wao ni watu wazima hawajikojolei
 
Mkuu Samahani lakini, ila Baba mkwe na Mama mkwe ni wazazi wako pia. Si vyema kuyashughulikia na kuyashabikia hayo. Maana na wewe ni sehemu ya familia... Mtihani wenu wote, cha msingi ingetumia mbinu mbadala hata kama ingechukua miaka zaidi ya kumi (10)... Ungehakikisha unarudisha mahusiano ya mkeo na Baba yake.
 
Mimi sizungumzii kule bali uwongo wako wa waislam kuachana sana kana kwamba ni 90%,huko marekani hawaachani!?..angalia rate ya talaka USA na ulaya
 
Pamoja na kwamba alishaachana na jamaa na kuchukua mali nusu,hayo yote kasahau anataka warudiane
 
Hali mbaya ya kiuchumi kivipi? Kama wanagawana nusu kwa nusu unasemaje kuwa ni hali mbaya??? Mfano umesema USD 40 billion hiyo ni pesa ndogo? Au mwenzetu ni billionaire mkubwa sana??!!
Umesoma vizuri comment yangu?Hebu karudie tena kusoma nilikuwa na mzungumzia nani?Naona kama umekurupuka, hebu soma tena.
 
Kwahiyo dahh! Baba mkwe wetu alikula adhabu hapahapa kwanza ya moto kwa uzwazwa na udhaifu wa kufikia kubadili dini kisa mwanamke...

Ila ni kisa chenye kusikitisha. Poleni sana kaka, hivi viumbe ni hatari! 🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…