Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Na kuna child support kasikia kuwa kipato cha tyrese kimeongezeka naye kaenda mahakamani anataka aongezewe child support kutoja dollar 15000 sijui hadi juu huko yani kwa mtoto mmoja tu
 
Mkuu utawafanyia ushetani gani hao watoto wako?
 
Mhh msikilize Luis Saha mchezaji wa Everton, Spurs na Man Utd alikuwa anakunja kwa wiki Pounds 200K.Kwenye hiyo list ya wachezaji kuna Henry na Ebue ambaye mke wake kampukutisha kila kitu, hajamwachia hata senti.

Kwa kifupi kama ukiwa na hela ni ngumu kupata mke bora.Hatu waonyeshei vidole ila kwa nchi za ulaya na US ndio hali halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…