Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Jana tena Jaji ka triple Child support🤣 alichokuwa anatoa kwa mtoto wake kwa mwezi!! Sasa Mahakama imeamuru awe anakitoa mara 3 kwa mwezi..
hahahaha, daah

Bwana Hamisi wa Geza Ulole alikuwa sahihi kutumia gunia la mkaa kuchoma mbwa yule
Bwana Daudi wa Tandika alikuwa sahihi kukatakata vipande vipande hizi mbuzi
 
Mambo haya yanafikirisha na kuogofya kwa kiwango kikubwa..kwamba wanawake wanaoweza kupenda hakuna kabisa au we don't love them right???

Maana isiwe tuna point fingers kwa wanawake kumbe Sisi wenyewe ndio msingi wa uharibifu,tunaenda kutengeneza Jamii ya kiduanzi isiyo jali hisia za wengine, now bila kusema nani kafanya nini, chanzo cha haya yote ni nini????
 
Kinachonishangaza huku mtaani wanaume hawapo hivi ambavyo mnajitutumua jf

Ada za chuo zinalipwa, tunatumiwa hadi hela "hii mpe mama" na bado mtu analilia kukuoa☺️🙌
USichokijua ni kwamba 80% ya wanawake wanajisifia kua wanawachuna wanaume kumbe kiuhalisia anatumia ela ambayo iliwekwa kwenye bajeti ya wanawake😁
 
Ukweli ni mchungu , wazungu walipigania harakati za wanawake chin ya mwamvuli wa haki sawa ikiwa ni harakati za feminism ...Walikuwa wanawaona jamii nyingine ni wajinga ila sheria zao ni mateso kwa mwanaume atakayefunga ndoa .

Kiufupi chini ya sheria za mzungu usijaribu kuoa utakwisha kabisa ...Mwanamke anakufanyia visa halafu bado anatka kukufilisi kabisa ? Haki sawa iko wapi mbona ni upande mmoja?

Kiufupi hizo ni harakati za mwanamke kutawala kwa kukandamiza wanaume .
 
🤣🤣🤣🤣🤣huku ndio chaka lao la kujificha wanalalamika,acheni kuwatesa watoto wa mama wake jamani
Mzee wa kupambania anajisifu yeye haongi ila anasponsor mchakato wa demu kuliwa

Kwanini huo mchakato wasitumie pesa za mwanamke au zao wote cz raha wote wanapata!

Watajibana lakini mwisho wa siku hela zao ni zetu na zetu ni zetu tu😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…