Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Wapo ila probability ni ndogo na hasa ukiwa na fedha.Fedha huvuta fakes friends na bitch, the same hata kwa wanawake wenye fedha ndio maana mara nyingi huangukia kwa Mario.

Hii jamii ya kiduanzi itengenezwe mara ngapi,mbona tupo kwenye zama hizo.Sababu kama unajali hisia na kumpenda mwenzio huwezi kumwingilia kinyume na maumbile, ila kwa siku hizi ni kama trend na wapo wanawake kwa mujibu ya Mwanaharakati Maarifu Mama Terry ,kuna wanawale wamepangiwa na kufunguliwa biashara sababu tu wanatoa mlango wa uwani na siku hizi wapo wengi sana, wengine mabinti wadogo hadi huruma.

Mapenzi siku hizi hayafanywi kwa hisia,ndio maana unasikia Alkasusu,Mkongo, demu kaliwa ndogo ni mwendo wa kukomoana.
 
Mkuu hawa viumbe naona hii wiki umewaamulia.
😂😂😂
 
Ndio maana tunafuata sheria ya Achraf Hakimi.
Pato zima unamuandikisha bimkubwa.
Halafu tuone sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…