Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Sasa huu ushauri ungewapa wanaume wenzako kua mwanamke aina yangu wamuache ajitafutie pesa zake nwenyewe kuliko kunipa tu bure.

Halafu pesa ni pesa tu! Iwe ya kupewa au kutafuta mwenyewe
Kama ulisoma uchumi mwalimu wako alikuambia aina nyingi za utajiri ukiwemo ule wa kurithi au kupewa mali.

Akili ninazo sema wewe kimekuuma kuona napewa hela za bure ulitaka hizo pesa upewe wewe?
 
Asilimia kubwa ya wanawake ni viumbe wa hovyo sana kuwahi kutokea. Binafsi nipo kwenye great regreat imenikumba last week, siongeu vizuri na shemeji yenu. Sisi wote ni walimu, sisi wote tumeoana tukiwamayatima kwa wazazi wote, sisi wote tumelelewa na ndugu toka utoto, yeye alilelewa kwa bibi na baadae baba yake alioa so alilelewa na mama wakambo, she was a good mom to her.
Tulivyooana tulielewana kila tunachopata tunaleta mezani tunatoa matumizi binafsi kinachobaki tunafanyia maendeleo. Tumeenda hivo kwa miaka 10 ya ndoa. Mm ndo nina kipato kikubwa takriban mara 3 yake kwa maana ya mshahara coz ni mwk wa chuo x yy ni wa sec.
Sasa mwaka juz tulifikia uamzi wa kuhamia mkoa y kutoka mkoa x tulipokua tunafanya kazi. Huwa muda wote tunaishi kwenye bank loan na kila tunapokopa huwa tunajenga
So nikachukua loan bank kama 25mil nikamjengea numba ya kuishi mkoa y ili watoto na yeye wasiishi nyumba ya kupanga coz walishazoea kuishi kwao na mkoa y nyumba nilikuta zinabei sababu ni jijini tofauti na mkoa x. Nyumba ikaisha ikabaki baadhi ya finishing nikamwambia naye akakope 5mil tukafanya finishing, japo haikumaliza ila ilitosha kufanya watu waishi. Kweny mkopo mm huwa nachukua 3 yrs so huwa nakatwa nabaki na 1/3 tu, tuna watoto3 wote wapo shule tena private so huwa napambana hasa kuhakikishanalipa ada na huku huwa simhusishi napambana tu mwwnyewe. Pia huwa kila mwezi naboost matumizi ya kwake mkoa y kwani mm bado nipo mkoa x. Ss mwaka juzi alikopa kama 1mil hivi bila mm kujua nikaja kustuka slip yake ina den lingine nikamkaba akasema hajakopa nlivomwonesha slip akasema alikuwa na mgonjwa, ni kweli na mm nlituma hela ya matibabu, sikumwamini coz 1mil ni nyingi naye sio mtoto pekee ana kaka zake, tukalumbana nikapotezea. Wiki jana nimekuja kupitia slip yake nakuta ana deni la 6mil on top ya deni la 5mil toka nmb, ana mabot na crdb ukijumlisha yanafika kama 20mil ila kati hayo deni la 6 mil silijui na sijui hela yake ametumia kwa kazi ganimaana yake kila akipanda mshahara alikuwa anaenda kukopa na wakati tunakopa alikuwa na gross ya lak7 sasa ana gros ya lak9.
Ikumbukwe mkopo siri wa mwanzo nilimwonya asijekurudia kukopa bila kunishirikisha, sababu mwisho wa siku mzigo unanirudia mm ambaye lazima nicover kila kiasi anachokatwa kwa maana rahisi mm ndo mlipaji wa hili deni.
Kingine kinachonipa shida next of keen ni nani?, maana once akifa hatuombei hivo kuna mrithi wa mali na madeni ambaye kwa vyovyote vile nimke ama mume, ameweka ni nani, na nani huwa anasain kama mtu wake wa karibu. Hapa tumenuniana, nawaza hata kuchukua maamuzi magumu sana ya kumpandisha cheo coz haanisikilizi, hana huruma na hustle zangu. Possibly anajenga ama kuna mwamba anamkula amemkopea
 
Single mama wanaolewa sana tu
Tena wanaume wengine wanaenda mbali wanalea watoto wa wanaume wenzao waliopatikana kwenye ndoa baada ya wake zao kuchapwa nje.

Midomo mirefu lakini mkituona mnanywea☺️
 
Na mostly wanaoharibikiwa naona ni wale wenye ushamba wa kuoa wanawake weupe baada ya kufanikiwa kimaisha. Mostly wenye wanawake zao blacks na wa kawaida tu naonaga wanadumu kinyama! ... Hii pia ni sababu
Sizani kama rangi ina matter sana,sababu kuna jamaa mmoja anaitwa Terry Crew kamuoa mzungu,ila mahusiano yao yalianza tokea mwamba yupo college, kipindi hizo sio maarufu na wala hana mzigo, Tyrese demu wake black kapigwa chini, Young Jeezy nae hivyo hivyo.

Terry Crew na mkewe.


Ukiwa na hela kupata anaye kupenda ni shughuli, maana hata yule ambaye anazitaka fedha zako atafake anakupenda.Fedha zunavuta marafiki fake aka machawa na malaya/slay Queens wanao fakes wanakupenda.
 
🤣🤣🤣 kwa jinsi wanawake tunavyowapa jakamoyo, bora walivyoanza kupendana wao kwa wao,
Hii nimeiona!!! Haipiti siku mwanaume na mapumbu yake anaanzisha thread kusakama wanawake!!! Sijui hawana Bibi, Mama, Shangazi, Mke, Dada, Binti?? Waione Zemanda Natafuta Ajira Kosugi na wanaume wote wenye tabia hizo.
 
aya ya mwisho inaonesha namna gani mwanamke huyo asivyo na akili. 50 alijionea kwa baby mama wake wa kwanza. Mwanamke alitaka pesa ambazo ni nyingi sana. Mwamba akachomoa na kutoa kiasi pungufu ya ile alikua anatoa mwanzo. Mpaka kesho mwanae wa kwanza hana mahusiano na 50. Kisa mama mtu. Na 50 alimwambia hela za child support zikiisha watanitafuta. Na kweli dogo alianza kumtafuta 50 na kubeef na babake. Mwamba hakutaka shida tia block.
wazee wa kataa ndoa zingine point 3 hizi dronedrake
 
Single mama wanaolewa sana tu
Tena wanaume wengine wanaenda mbali wanalea watoto wa wanaume wenzao waliopatikana kwenye ndoa baada ya wake zao kuchapwa nje.

Midomo mirefu lakini mkituona mnanywea☺️
Aaaah wapi thubutuuu.
Yani mimi ukiwa single mama eidha umetalikiwa au umefiwa na mumeo ndio nitakuoa.
Ila uwe mwantumu umezalishwa na hamdala kiuno nje ya ndoa!?
Wee peleka futa huko waendelee kulishenyentaaa.
 
Duuuh!
 
Buni miradi, utajiongezea sifa kwa jamaa.... Siku akizinduka kwenye hicho kizungumkuti atakuuliza "miaka yote nakuhonga, nini umefanya?!"

By-the way... Kuniuliza nataka nipewe unanikosea ephen 😭

Rijal, msomi, uchumi unasoma angalau si haba, sina cha kupoteza, siwapi priority wanawake na mashemeji wenye matashtiti na mapashupashu kama wewe wakinikalia on-target nawakula ile mbaya! 😋👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…